Soma kurasa za mbele za magazeti ya leo Januari 6,2025

The introvert

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2023
Posts
701
Reaction score
1,522
1736112015364.jpg
1736112017489.jpg
1736112019403.jpg
1736112021685.jpg
1736112021685.jpg
1736112023714.jpg
1736112025732.jpg
1736112027791.jpg
1736112029803.jpg
1736112034584.jpg
1736112031958.jpg

Cc: SwahiliTimes

๐—ก๐—ฏ : ๐—ช๐—ฒ๐˜„๐—ฒ ๐—ป๐—ถ ๐— ๐—ฝ๐—ฒ๐—ป๐˜‡๐—ถ ๐—บ๐˜€๐—ผ๐—บ๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ด๐—ฎ๐˜‡๐—ฒ๐˜๐—ถ ๐—น๐—ถ๐—ฝ๐—ถ?
 
Nasoma online, most of time.
Siku hizi taarifa unazipata online hata kabla hujazisikia kwnye magazeti

Unakuta gazeti linareport taarifa ya jummanne na unakuta siku hiyo ni alhamis
Nimekuelewa mkuu ,kiasi flani pia ninaona ukuaji wa teknolojia hasa katika matumizi ya simu janja yamefanya usomaji wa magazeti kupungua kwa kasi kubwa , Japo kuna baadhi ya waandishi mashuhuri wanashwishi kusoma baadhi ya magazeti
 
Magazeti mengi wanaweka taarifa zao online kama mwananchi. Ila taarifa ambazo zinawekwa sio zote. Yani kwenye magazeti kuna taarifa nyingi zaidi

Ila napenda sana makala za mwananchi. Zinakuwa na weledi mkubwasana. Ubaya magazeti haya ni aina mpya ya chawa wa mitandaoni
 
Oh sawa mkuu ๐Ÿ™
 
Back
Top Bottom