aliekatakamba humutuu
JF-Expert Member
- Feb 1, 2024
- 341
- 714
nivijiji vipi hivyo vyenye umeme?%99.9
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndomana soko la magazeti ya kibongo limekufa. Hivi nani wa kutoa hela yake akanunue magazeti yenye habari za kichawa!? Uchawa mtupu! Angalau Mwananchi kwa mbali bado wanasimama kwenye taaluma japo upepo wa uchawa nao haujawaacha sslama.View attachment 3193734View attachment 3193735View attachment 3193736View attachment 3193737View attachment 3193739View attachment 3193740View attachment 3193741View attachment 3193742View attachment 3193744View attachment 3193745View attachment 3193747
Cc: SwahiliTimes
𝗡𝗯 : 𝗪𝗲𝘄𝗲 𝗻𝗶 𝗠𝗽𝗲𝗻𝘇𝗶 𝗺𝘀𝗼𝗺𝗮𝗷𝗶 𝘄𝗮 𝗴𝗮𝘇𝗲𝘁𝗶 𝗹𝗶𝗽𝗶?
Sikuhizi uchawa kila mahali ndugu 😁nivijiji vipi hivyo vyenye umeme?%99.9
Uzuzu + Uchawa hiyo ndio sababu ya haya yoteHizo page zimekaa kishabiki
Sikuhizi ni kusifia tu , habari za kiintelelijensia na kiuchunguzi zimepotea kabisa.Ndomana soko la magazeti ya kibongo limekufa. Hivi nani wa kutoa hela yake akanunue magazeti yenye habari za kichawa!? Uchawa mtupu! Angalau Mwananchi kwa mbali bado wanasimama kwenye taaluma japo upepo wa uchawa nao haujawaacha sslama.
Sidhani kwa sasaKuna watu wa kutosha bado wananunua magazeti kiasi kwamba yajiendeshe kwa faida?
Hapana sidhani maana hayo magazeti yamechapishwa jana usiku maana hii thread ni ya leo saa sita usiku, hii stori imeanza kutrend leo asubuhiMbona hakuna ile habari ya barozi wakuu
Barozi wa zambia
Hamna hata mojaView attachment 3193734View attachment 3193735View attachment 3193736View attachment 3193737View attachment 3193739View attachment 3193740View attachment 3193741View attachment 3193742View attachment 3193744View attachment 3193745View attachment 3193747
Cc: SwahiliTimes
𝗡𝗯 : 𝗪𝗲𝘄𝗲 𝗻𝗶 𝗠𝗽𝗲𝗻𝘇𝗶 𝗺𝘀𝗼𝗺𝗮𝗷𝗶 𝘄𝗮 𝗴𝗮𝘇𝗲𝘁𝗶 𝗹𝗶𝗽𝗶?
Sawa sawa mkuuHapana sidhani maana hayo magazeti yamechapishwa jana usiku maana hii thread ni ya leo saa sita usiku, hii stori imeanza kutrend leo asubuhi