Soma kurasa za mbele za magazeti ya leo Januari 6,2025

Ndomana soko la magazeti ya kibongo limekufa. Hivi nani wa kutoa hela yake akanunue magazeti yenye habari za kichawa!? Uchawa mtupu! Angalau Mwananchi kwa mbali bado wanasimama kwenye taaluma japo upepo wa uchawa nao haujawaacha sslama.
 
Sikuhizi ni kusifia tu , habari za kiintelelijensia na kiuchunguzi zimepotea kabisa.
 
Hamna hata moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ