Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,204
Mtaamka mtakapokuja gundua wenzenu wanajiandaa kuja vitumia hivi ving`muzi km guest house.Acheni upuuzi anzenu kujifunza tengeneza movie za ukweli,habari za weledi, na contents za kutosha.wenzenu wanawatengenezea barabara,wanwapa umeme,wanwapa connections wote ili baadae kila chenu kiwe chao cha kuchezea wapendavyo.