Soma kwa makini unipe ushauri kwa hili

Soma kwa makini unipe ushauri kwa hili

Chukua laki Tano mpe shangazi ako mshauri afungue genge...

Tenga milioni 3 mfungulie mama duka..

Chuku milion tano anzisha biashara yako nyingine weka kumbuka biashara sio rafiki sana kipindi hiki
NOTE: KAMA utajaribu kuwekeza zote 20 mill. Ukikwama hutakua na option...
Kuwa na nidhamu ya fedha kwa kiasi kikubwa
Kumbuka pia nyumba haizalishi na hakuna ujenzi mdogo.....
Shukrani sana mkuu
 
Ushauri,kamjengee kwanza mama yetu nyumba nzuri ya kuishi,mfanye mama ayafurahie maisha,mfanye mama afurahie iwepo wa dunia
Mawazo ya biashara achana nayo kwa sasa mzunguko wa pesa siyo nzuri.wekeza kwanza kwa mama ukishamilishia rundi tena kwenye biashara. Jiamini kuwa huru kufanya maamuzi
 
Sijui hawa waliondika kwenye Biblia walikuwa wanamaana gani walivyoandika samehe saba mara sabini,,
Chukua wote mkae pamoja muishi wote,, mtaishi kwa Amani na Upendo,,, inawezekana zile zilikuwa ni njia kufikia hapo ulipo,,,,,,, Maisha mema
 
mkuu hakuna sehemu ambayo nimesema sija samehe, usinicopy vibaya ndugu yangu
 
huu ushauri ni mzuri, pia wazo la pili ni zuri zaidi
mkuu kuna sentensi yeyote ambayo nimesema sijasamehe, mbona kama mnaanzisha kitu ambacho hakikuwepo kwenye kuomba ushauri
 
Wote hao wana haki kwako, angalia sisi kwetu mama ana haki tatu zaidi ya baba.
1.Kuvumilia taabu za kukubeba tumboni kwa miezi tisa au zaidi.

2.Kuvumilia machungu katika kuzaliwa kwako.

3.Kukunyonyesha na matunzo mengine ambayo kinamama hupaswa kuyafanya kwa watoto wao.
Haya ni mambo matatu yanayomfanya mama kuwa na haki mara tatu zaidi ya baba, nafasi moja ya baba ni yale matunzo baada ya wewe kuzaliwa.
Ushauri wangu kwako wote wana haki kwako lakini mpunguzie mama yako kwanza machungu mboreshee makazi yake atleast ajihisi furaha ndani ya nafsi yake.
Shangazi naye usimwache hata kidogo kwani yeye kwa hapo ndio baba, japo simjui lakini napata huruma ndani ya nafsi yangu, kama usemavyo amechoka basi na yeye mfanyie jambo ajihisi faraja na ahisi upendo wako kwake usimtupe kwa yale yaliyopita kwani daima atabaki kuwa ni shangazi yako, let her proud of you.
Ni maono yangu tu.
Baba nae ana haki TATU au zaidi kumzidi mama yako :
1. Kutafuta MAHARI ili aweze kumuoa mama yako (bila hiyo mahari wewe usingepatikana)
2. Kuamua kuoa tena kumuoa mama yako na sio wengine
3. KuPANDA MBEGU kwa mama yako hakika bila mbegu hio yote hizo haki zote za mama yako hazipo
4. Kumtunza mama yako (familia yake) wakati wote HASA baada ya kupata ujauzito ili uzaliwe n.k.

NYIE WATOTO WA SINGLE MAMA ACHENI UJINGA HUO WAZAZI WOTE WAKO SAWA
Niwaombe hakikisheni watoto wenu wanapata malezi bora ya wazazi wote wawili.
 
Pole na hongera sanaa,
Ila usisubutu kuwaweka pamoja mama na wifi yake(shangazi yako).

1. Chukua million 5,kamjengee mama chumba na sebure huko alipo,maana pale ni nyumbani kwenu,upo umuhimu mkubwa wa kupaendeleza.

2. Muanzishie mama kiduka hapo nyumbani hata cha laki 5,amiliki pesa yake mwenyewe,na laki 5 nyingine kama mradi wa maji umefika kijijini,mvutie maji,afanye biashara ya kuuza ndio moja 100.

3. Nenda kwa shangazi,mshukuru kwa yote aliyokufanyia,mkabidhi sh 1 million cash pia mwambie unamsaport kidogo kwenye ujenzi,kama hajanunua tofali mnunulie tofali 1000, maana yangu ni kuwa utumie 2 millions kwake.

4. Kama bado huna kiwanja,nunua kiwanja cha 4 millions,popote utakapo papenda kuanzisha maisha yako.

5. Hiyo pesa iliyobaki,toa shukrani kwa Mungu wako unaemuamini,hata kwakusaidia wasio jiweza 5-10% ya ela yote. Hiyo 6/7 iliyobaki angalia kwenye maisha yako ni biashara ipii utaifanya kwa mafanikio ukiwepo na wewe hata 2 hours a day kila siku.

All the best chief.
 
Baba nae ana haki TATU hizo hizo kumzidi mama yako :
1. Kutafuta MAHARI ili aweze kumuoa mama yako (bila hiyo mahari wewe usingepatikana)
2. Kuamua kuoa tena kumuoa mama yako na sio wengine
3. KuPANDA MBEGU kwa mama yako hakika bila mbegu hio yote hizo haki zote za mama yako hazipo
4. Kumtunza mama yako (familia yake) wakati wote HASA baada ya kupata ujauzito ili uzaliwe n.k.

NYIE WATOTO WA SINGLE MAMA ACHENI UJINGA HUO WAZAZI WOTE WAKO SAWA
Niwaombe hakikisheni watoto wenu wanapata malezi bora ya wazazi wote wawili.
mkuu baba yangu sijamweka kwenye huu mjadara kwa kuwa alisha tangulia mbele ya haki (note: sijazaliwa nje ya ndoa mkuu, tupo watatu baba mmoja mama mmoja, mimi ndio mkubwa mkuu)
 
Pole na hongera sanaa,
Ila usisubutu kuwaweka pamoja mama na wifi yake(shangazi yako).

1. Chukua million 5,kamjengee mama chumba na sebure huko alipo,maana pale ni nyumbani kwenu,upo umuhimu mkubwa wa kupaendeleza.

2. Muanzishie mama kiduka hapo nyumbani hata cha laki 5,amiliki pesa yake mwenyewe,na laki 5 nyingine kama mradi wa maji umefika kijijini,mvutie maji,afanye biashara ya kuuza ndio moja 100.

3. Nenda kwa shangazi,mshukuru kwa yote aliyokufanyia,mkabidhi sh 1 million cash pia mwambie unamsaport kidogo kwenye ujenzi,kama hajanunua tofali mnunulie tofali 1000, maana yangu ni kuwa utumie 2 millions kwake.

4. Kama bado huna kiwanja,nunua kiwanja cha 4 millions,popote utakapo papenda kuanzisha maisha yako.

5. Hiyo pesa iliyobaki,toa shukrani kwa Mungu wako unaemuamini,hata kwakusaidia wasio jiweza 5-10% ya ela yote. Hiyo 6/7 iliyobaki angalia kwenye maisha yako ni biashara ipii utaifanya kwa mafanikio ukiwepo na wewe hata 2 hours a day kila siku.

All the best chief.
shukrani sana mkuu, barikiwa.
 
Hio ela yako fungua biashara Ukuze mtaji wako usijenge wala kununua Nyumba. Nyumba utajenga na kuwanunulia shangazi na mama yako baada ya kuipata faida kwenye hio biashara ambayo utaifungua,Kwa maana hio tafuta milioni nyingine nyingi ndio ufanye hivyo- KUZA MTAJI WAKO.
 
barikiwa ndugu.
 
Baba nae ana haki TATU au zaidi kumzidi mama yako :
1. Kutafuta MAHARI ili aweze kumuoa mama yako (bila hiyo mahari wewe usingepatikana)
2. Kuamua kuoa tena kumuoa mama yako na sio wengine
3. KuPANDA MBEGU kwa mama yako hakika bila mbegu hio yote hizo haki zote za mama yako hazipo
4. Kumtunza mama yako (familia yake) wakati wote HASA baada ya kupata ujauzito ili uzaliwe n.k.

NYIE WATOTO WA SINGLE MAMA ACHENI UJINGA HUO WAZAZI WOTE WAKO SAWA
Niwaombe hakikisheni watoto wenu wanapata malezi bora ya wazazi wote wawili.
Siliicon Valey, habari yako mkuu, katika maelezo yangu nimeainisha kwamba "KWETU " , kwa hiyo kama kwenu mna taratibu zenu hakuna ugomvi, hiyo ni taratibu yetu sisi, ishini kwa taratibu zenu nasi tutaishi kwa taratibu zetu sisi.
 
Ushauri wangu kwako bado hiyo hela ni ndogo kuwainua wote watatu Ila na muda hausubiri unasonga tu hivyo toa milioni 5 kwaajili ya mama na shangazi kuwainua kibiashara waendelee kutumia nguvu zao kupambana na maisha na wakati unawapa huo mtaji wape ukiwa unalia kwamba umewapa wao wewe huna kitu ndo unaingia kupambana nasema ufanye hivyo kwasababu Kila mtu kwenye haya maisha anatakiwa kujipambania mwenyewe kubadili maisha yake na watu wengi weusi wakiona Kuna mtu anapambana kwaajili yao wanabweteka kabisa tena linakuwa deni lako kuwalipa Kila mwezi mambo makubwa na ukikosa inakuwa kesi na hapo naona bado hujajikwamua na wewe kutoa hizo huduma Sasa Basi ile iliyobaki ingiza na wewe kwenye mizunguko itoe faida uanze kumjengea mmoja mmoja kwa hatua huku biashara zao na yako zinaendelea na hata wao Kama hawataki hayo maisha ya umasikini utaona Kuna nguvu wametumia kupitia huo mtaji kufanya kitu cha kuwaongezea thamani yao Kama wewe ulivyopambana kujiendeleza.
 
nimepokea ndugu ushauri wako
 
Siliicon Valey, habari yako mkuu, katika maelezo yangu nimeainisha kwamba "KWETU " , kwa hiyo kama kwenu mna taratibu zenu hakuna ugomvi, hiyo ni taratibu yetu sisi, ishini kwa taratibu zenu nasi tutaishi kwa taratibu zetu sisi.
VERY SORRY kwa wale woote niliowakwaza kwa namna yeyote. nia ilikuwa kujenga.
 
Hiyo milioni 20 ni nyingi sana,cha muhimu toka nayo Tanzania,uanweza ukatengeneza paspoti Kwa 150,000 halafu tafuta watu wenye connection na Zambia au Congo,jichanganye,hapo lazima utusue,kuna biashara moja inalipa sana ya nguo za ndani mfano Chupi taiti na sidiria
 
Back
Top Bottom