ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Maana wakati Anachochea Vijana wanauwawa yeye alikuwa anakula maisha Kwa Mabeberu.
Rais Daniel Chapo aliapishwa tena na Viongozi walialikwa akiwemo PM Majaliwa.Baadae Jamaa amerudi anadai Yuko tayari kufanya maridhiano na Serikali ya Msumbiji na kujiunga nayo? Mozambique's Venâncio Mondlane open to serving in Daniel Chapo's government
Swali:
Je alihitaji kuchochea watu wajinga (Vijana ) Wauwawe Ili afanye maridhiano na Serikali kisa kuwajaza upepo wa uongo eti aliibiwa kura.
My Take
Nawakumbusha tuu Vijana wa Tanzania kwamba msije kukubali kutumika na Wanasiasa,wako hapo kusaka madaraka sio Kwa Ajili yenu.
Hii imfikie Lisu na Wafuasi wake wanaohemka humu mitandaoni Kwa kujazwa upepo.