Soma Kwa Wafuasi wa Upinzani Tanzania; Je, Mondlane alihitaji Kuingiza Vijana wauawe barabarani ili aingie kwenye maridhiano na Serikali ya Msumbiji?

Soma Kwa Wafuasi wa Upinzani Tanzania; Je, Mondlane alihitaji Kuingiza Vijana wauawe barabarani ili aingie kwenye maridhiano na Serikali ya Msumbiji?

2025 tunataka kuona uchaguzi huru na haki sio kingine, yeyote atakayeshinda tunataka kuona kashinda Kwa haki.

"Wazuri hawafi" by Makamba Snr.
"Wachawi wote wamekufa" by JK Msoga.
Nataka kuona no reform no election kama mlivyodanganywa na Tundu Lisu.
 
Maana wakati Anachochea Vijana wanauwawa yeye alikuwa anakula maisha Kwa Mabeberu.

Rais aliapishwa tena na Viongozi walialikwa akiwemo PM Majaliwa.Baadae Jamaa amerudi anadai Yuko tayari kufanya maridhiano na Serikali ya Msumbiji na kujiunga nayo? Mozambique's Venâncio Mondlane open to serving in Daniel Chapo's government

Swali:

Je alihitaji kuchochea watu wajinga (Vijana ) Wauwawe Ili afanye maridhiano na Serikali .

My Take
Nawakumbusha tuu Vijana wa Tanzania kwamba msije kukubali kutumika na Wanasiasa,wako hapo kusaka madaraka sio Kwa Ajili yenu.

Hii imfikie Lisu na Wafuasi wake wanaohemka humu mitandaoni Kwa kujazwa upepo.

View attachment 3209720
Mmeshindwa kote sasa mnakuja na majungu nq masufuria
 
Je ni halali kwa serekali iliyopita kupora uchaguzi ili vijana wapinge kisha iwaue?
 
Na mara nyingi ni ajenda za uroho wa madaraka,wanachochea uongo eti wakishinda wakati hawana nyaraka na Vijana Kwa kutotumika akili wanajazwa upepo na mambo Yao yanaenda kombo huku Wanasiasa mambo Yao yakoenda poa.
Hawa watu hawana tofauti na manabii wa uongo.
Wao wanachotaka nikutafutiwa shibe na hao vijana walalahoi.
Na wakati mwingine wakisha pata fursa kama Udiwani ubunge n.k ni wabaya zaidi kuliko wale waliokuwa wanawalamikia.
 
Je ni halali kwa serekali iliyopita kupora uchaguzi ili vijana wapinge kisha iwaue?
Uchaguzi upi ukiporwa? Kama Wana ushahidi unadhani Kwa nini hawajaenda mahakamani?

Mtaendelea kutumika Kwa kulishwa maneno ya kipumbavu kama hayo na Wanasiasa Hadi mkome.
 
Maana wakati Anachochea Vijana wanauwawa yeye alikuwa anakula maisha Kwa Mabeberu.

Rais Daniel Chapo aliapishwa tena na Viongozi walialikwa akiwemo PM Majaliwa.Baadae Jamaa amerudi anadai Yuko tayari kufanya maridhiano na Serikali ya Msumbiji na kujiunga nayo? Mozambique's Venâncio Mondlane open to serving in Daniel Chapo's government

Swali:

Je alihitaji kuchochea watu wajinga (Vijana ) Wauwawe Ili afanye maridhiano na Serikali kisa kuwajaza upepo wa uongo eti aliibiwa kura.

My Take
Nawakumbusha tuu Vijana wa Tanzania kwamba msije kukubali kutumika na Wanasiasa,wako hapo kusaka madaraka sio Kwa Ajili yenu.

Hii imfikie Lisu na Wafuasi wake wanaohemka humu mitandaoni Kwa kujazwa upepo.

View attachment 3209720
Ni wangapi walikufa Africa Kusini kabla ya Mandela kukaa meza moja na makaburu?
 
Ni wangapi walikufa Africa Kusini kabla ya Mandela kukaa meza moja na makaburu?
Bora wale Wana uhalali walikiwa wanapigania uhuru wao.

Nyie mnakufa Ili Wanasiasa waingie madarakani.

By the way Mandela ni nyumbu tuu huwezi ku compromise kisa wewe umepata Urais
 
Wewe ni punguani ,Tanzania hakuna au huko Mozambique hakuna Mahakama?
Unatafuta pakufia?
Kenge jike wewe hebu achana na mimi falasi wewe

Punguani unamjua wewe? Nikikutajia punguani utaendelea kumuheshimu?
 
Unatafuta pakufia?
Kenge jike wewe hebu achana na mimi falasi wewe

Punguani unamjua wewe? Nikikutajia punguani utaendelea kumuheshimu?
Nyumbu wote wanaotumikishwa Kisiasa ndio punguani
 
Back
Top Bottom