ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #21
Subiria ndugu yako akoshindwa uchaguzi 2025 atakachowaambia.Hakuna anawafia wanasiasa, wanasiasa ndio wanaingilia michakato, issue kubwa ni haki na usawa ndio vinatafutwa..
Subiria ndugu yako akoshindwa uchaguzi 2025 atakachowaambia.
Nataka kuona no reform no election kama mlivyodanganywa na Tundu Lisu.2025 tunataka kuona uchaguzi huru na haki sio kingine, yeyote atakayeshinda tunataka kuona kashinda Kwa haki.
"Wazuri hawafi" by Makamba Snr.
"Wachawi wote wamekufa" by JK Msoga.
Mmeshindwa kote sasa mnakuja na majungu nq masufuriaMaana wakati Anachochea Vijana wanauwawa yeye alikuwa anakula maisha Kwa Mabeberu.
Rais aliapishwa tena na Viongozi walialikwa akiwemo PM Majaliwa.Baadae Jamaa amerudi anadai Yuko tayari kufanya maridhiano na Serikali ya Msumbiji na kujiunga nayo? Mozambique's Venâncio Mondlane open to serving in Daniel Chapo's government
Swali:
Je alihitaji kuchochea watu wajinga (Vijana ) Wauwawe Ili afanye maridhiano na Serikali .
My Take
Nawakumbusha tuu Vijana wa Tanzania kwamba msije kukubali kutumika na Wanasiasa,wako hapo kusaka madaraka sio Kwa Ajili yenu.
Hii imfikie Lisu na Wafuasi wake wanaohemka humu mitandaoni Kwa kujazwa upepo.
View attachment 3209720
Wapi huko tulikoshindwa?Mmeshindwa kote sasa mnakuja na majungu nq masufuria
Hawa watu hawana tofauti na manabii wa uongo.Na mara nyingi ni ajenda za uroho wa madaraka,wanachochea uongo eti wakishinda wakati hawana nyaraka na Vijana Kwa kutotumika akili wanajazwa upepo na mambo Yao yanaenda kombo huku Wanasiasa mambo Yao yakoenda poa.
Uchaguzi upi ukiporwa? Kama Wana ushahidi unadhani Kwa nini hawajaenda mahakamani?Je ni halali kwa serekali iliyopita kupora uchaguzi ili vijana wapinge kisha iwaue?
Waende mahakama zipi?Uchaguzi upi ukiporwa? Kama Wana ushahidi unadhani Kwa nini hawajaenda mahakamani?
Mtaendelea kutumika Kwa kulishwa maneno ya kipumbavu kama hayo na Wanasiasa Hadi mkome.
Ni wangapi walikufa Africa Kusini kabla ya Mandela kukaa meza moja na makaburu?Maana wakati Anachochea Vijana wanauwawa yeye alikuwa anakula maisha Kwa Mabeberu.
Rais Daniel Chapo aliapishwa tena na Viongozi walialikwa akiwemo PM Majaliwa.Baadae Jamaa amerudi anadai Yuko tayari kufanya maridhiano na Serikali ya Msumbiji na kujiunga nayo? Mozambique's Venâncio Mondlane open to serving in Daniel Chapo's government
Swali:
Je alihitaji kuchochea watu wajinga (Vijana ) Wauwawe Ili afanye maridhiano na Serikali kisa kuwajaza upepo wa uongo eti aliibiwa kura.
My Take
Nawakumbusha tuu Vijana wa Tanzania kwamba msije kukubali kutumika na Wanasiasa,wako hapo kusaka madaraka sio Kwa Ajili yenu.
Hii imfikie Lisu na Wafuasi wake wanaohemka humu mitandaoni Kwa kujazwa upepo.
View attachment 3209720
Bora wale Wana uhalali walikiwa wanapigania uhuru wao.Ni wangapi walikufa Africa Kusini kabla ya Mandela kukaa meza moja na makaburu?
Wewe ni punguani ,Tanzania hakuna au huko Mozambique hakuna Mahakama?Waende mahakama zipi?
Ficha ujinga
Umeshamaliza kunywa huo ulanzi?Hata umuunge na miguu hawezi kushinda,Je uko tayari ku face the consequences?
NdioUmeshamaliza kunywa huo ulanzi?
Unatafuta pakufia?Wewe ni punguani ,Tanzania hakuna au huko Mozambique hakuna Mahakama?
Agiza Mbege sasa nakuja kuilipiaNdio
Nyumbu wote wanaotumikishwa Kisiasa ndio punguaniUnatafuta pakufia?
Kenge jike wewe hebu achana na mimi falasi wewe
Punguani unamjua wewe? Nikikutajia punguani utaendelea kumuheshimu?
Kwani Mandela hakuwa mwanasiasa?Bora wale Wana uhalali walikiwa wanapigania uhuru wao.
Nyie mnakufa Ili Wanasiasa waingie madarakani.
By the way Mandela ni nyumbu tuu huwezi ku compromise kisa wewe umepata Urais