Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
dogo ni zuzumagic
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo ndo athari za kusoma shule za kata.
hemed ni attention seeker n am sure he knows what he's doin na kwa kukurupuka tunakuta tunampa attention....mastar wengi wa bongo hupenda attention za media hata kwa upuuzi wao!sometimes inabidi tuwapotezee kwani tukiwazomea kwao ni kama kuwashangilia!.......nachomsifu dogo ni kutoogopa kuchukiwa kwa kauli zake na kujiamini!
du ombea asikusikieNOT ONLY ZUZU pia ni bwegge fulani hivi jinga jinga...yaani uku Nai tunamuita wa hivi hivi......lakini hata JF wapo......sasa jitu kama Nyani Ngabu anatofauti gani na huyu hamnazo?
Kumega mademu yeye anaona ndo mafanikio ya sanaa
NOT ONLY ZUZU pia ni bwegge fulani hivi jinga jinga...yaani uku Nai tunamuita wa hivi hivi......lakini hata JF wapo......sasa jitu kama Nyani Ngabu anatofauti gani na huyu hamnazo?
Inamaanisha asingekuwa kwenye sanaa may be asingeweza kupata demu maishani mwake, na hivi alivo mrembo may be angekuwa anatafunwa, so kwake hiyo ni achievement.