Soma mchezo huu"Pindua nikupindue"

Galamtogela

Senior Member
Joined
Aug 25, 2013
Posts
102
Reaction score
27
Mapinduzi ya mwanzo Africa -congo kinshasa 15 sept 1960 Siku 13 tangu nchi ipate uhuru kutoka kwa waberigiji . Patrice lumumba (waziri mkuu) alipinduliwa na hasimu yake Rais joseph kasavubu. Rais joseph kasavubu alipinduliwa na joseph Désiré Mobutu . Raisi Mobutu kwa mkwara mkubwa baada ya muda alijibadilisha jina na kujiita MOBUTU SESESEKO NKUKU NGBENDU WA ZABANGA ambaye nae alipinduliwa na Rais Rolah Désiré kabila .
 
Kabila nae akauwawa na nafasi yake kutwaliwa na mtoto wake J kabila.....picha linaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…