Soma na sikiliza vitabu ndani ya Maktaba.co.tz

Vitabu vya Nyerere vilivyopo ndani ya maktaba.co.tz

1. Ujamaa
2. Tanzania itajengwa na wenye moyo
3. Hotuba za JK Nyerere wakati wa vita ya Kagera
4. Uhuru na maendeleo
5. Uamuzi wa Busara
5. Elimu ya kujitegemea
6. Kilio cha uhuru
7. Hotuba ya Rais kwa wanajeshi wapya
8. Hotuba ya sikukuu ya Jamhuri
9. Tujisahihishe
10. Mkutano wa Cairo
11. Azimio la Arusha
 
Kitabu kipya.


Najua kuna wasomi wenzangu ambao sasa hawasomi kabisa. Nia yao ya kwenda shule ilikuwa kutafuta hati ambayo wangeweza tumia kama hirizi kupatia kazi. Baada ya kuipata hati hiyo, kweli iliwapatia kazi, na sasa imetundikwa ukutani mahali ambapo kila mtu anaweza kuona. Lakini kusoma sasa hawasomi kabisa! Hili ni kosa kubwa ambalo limetokana na mawazo ya kikoloni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…