Soma taratibu kisa hiki kilichonitokea kisha nishauri

Kwanza, huyo dogo mpige ban moja hatarii, karibu na wewe, Rama, Denis na hapo dukani.
Pili, mjulishe Denis kuhusu huyo dogo na umuulize ka aliyajua hayo. Rama akitoka shule, umjulishe pia, ama hata kama utakuwa usharudi mjini, mtumie hiyo audio, naye awe anajua ana deal na nani.
La tatu na la mwisho, fanya uchunguzi wako mwenyewe 'personal', ujue ka kuna lolote kati ya dogo na hizo ndume mbili za kwenyu na kama hakuna na bado dogo anajileta leta pale baada ya kumpiga ban, mtishie utatoa siri kwa wazazi wake!

NB;Hilo la mwisho(kusema kwa wazazi) litafanya kazi yake, niko sure. Hatorudi hapo. Alafu akija tena kununua CD, usimuuzie, aende kwingine, kudadadeki zake!
 
Jombaa nikisomaga comments zako nyingi naishia kucheka.
 
Changamoto sana sahivi, mtoto wa jinsia yoyote yupo hatarini tu,
 
Poa,nashukuru kwa ushauri,hawa madogo wawili lazima niwajulishe,halafu nitafute namna ya kuongea na wazazi wa huyu Dogo
 
Piga marufuku huyo dunya kutia mguu hapo kwenu asije akawashawishi wadogo zako waingie kwenye huo uchafu.
 
Broo haya mambo mambo yanaumiza sana ndugu yangu, try to put yourself to the shoes of those parents , inauma yaani
Inauma sana broo...hicho kiatu kimejaa maumivu makali sana Chief asikwambie mtu
 
Usichokoze ngoma usiyoweza kuicheza
 
Sure, na wewe badilisa hiyo dp hapo, mwanzo nilijua ni m manzee, mafisi watakukata saundi arooo
Mi mwana tu brother usiogope.sema nakapenda hako kabinti kinyama..ndiko kamain karakta kenye jina Chakorii..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…