Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 12,001
- 27,175
- Thread starter
- #161
Ndio maana niliandika 'soma taratibu' utaelewaninachojiuliza, inakuwaje ukavumilia mwanaume mwenzio anakupapasa au anakusifia kijinga namna hiyo na wewe bado ukaendelea kuwa karibu naye au hata kuongea naye? binafsi kuna mjinga mmoja tena alikuwa mfamasia ni ndugu, tulisalimiana kwenye msg, habari za leo, akajibu "nzuri tyuuu", nilifuta hadi mawasiliano na sijamwelewa hadi leo kama yupo vyema kichwani kwake sitaki hata kukutana naye.