Ndio maana niliandika 'soma taratibu' utaelewaninachojiuliza, inakuwaje ukavumilia mwanaume mwenzio anakupapasa au anakusifia kijinga namna hiyo na wewe bado ukaendelea kuwa karibu naye au hata kuongea naye? binafsi kuna mjinga mmoja tena alikuwa mfamasia ni ndugu, tulisalimiana kwenye msg, habari za leo, akajibu "nzuri tyuuu", nilifuta hadi mawasiliano na sijamwelewa hadi leo kama yupo vyema kichwani kwake sitaki hata kukutana naye.
Ujamuelewa anasema Denis ni mdogo wake yuko chuo , Rama ni mtoto wa kaka yake yuko form 2, Hafu kuna Dogo ambaye anataka kula na kuliwa, muhimu kuwa makini na Rama , mana isije ikawa dogo anamkula RamaIla na wewe ni kama ulikuwa unasikia raha kushikwashikwa na Denis.Nilitegemea dakika tu zile za mwanzo ungekuwa umerusha hata kibao kimoja kikali sana hata kama kingemkosa ungedondoka kwa nguvu ulizozitumia
Inaumizaa mno, ila kwakua ulirecord akiwa anazungumza, ni rahisi wazazi wake kukuamini, pili pengine Mungu alikupeleka sehem hiyo kwa makusudi, imagine anaaga anaenda kanisani na wazazi wake wanajua hivyo kumbe anaenda kwenye ushetani huo, kama kuwaeleza wazazi wake ni ngumu, basi Muombe Mama akazungumze nao kwakua anafahamika maeneo hayo. Lakini pia usiache kuongea na Rama+DenicKuwaeleza wazazi wake kwangu ni ngumu sana kwanza sio watu ninaofahamiana nao ziadi ya kuwaona tu wakipita,pili Mimi huku ni kama mgeni tu maana huwa sikai hapa,halafu sasa tuhuma zenyewe nitakazopekeka kwao ni nzito mno,sijui kama kuna mzazi ataamini kirahisi
Huenda Rama alishamtafuna huyoWanajuana lakini sijui kama Rama anajua huyu Dogo anatabia hizi
Ni wazo zuri nilikuwa nafikiria niongee na Maza labda atanisaidia kuongea na wazazi wakeInaumizaa mno, ila kwakua ulirecord akiwa anazungumza, ni rahisi wazazi wake kukuamini, pili pengine Mungu alikupeleka sehem hiyo kwa makusudi, imagine anaaga anaenda kanisani na wazazi wake wanajua hivyo kumbe anaenda kwenye ushetani huo, kama kuwaeleza wazazi wake ni ngumu, basi Muombe Mama akazungumze nao kwakua anafahamika maeneo hayo. Lakini pia usiache kuongea na Rama+Denic
Rudi Tu mjini
Huyo Rama na dogo wanajuana.