Soma uchambuzi huu wa kina ili kuelewa kwanini Watanzania hawawezi kamwe kuandamana

Yani waandishi wa habari bila kuwa MACHAWA hawawezi kuishi? Unajionaje kila siku unatukanwa humu kwa hoja hizi, na bado unasifia UJINGA.

Au hawa wanao kataa hoja zako sio watanzania?
 
for sure hakuna na wala hapatakua na sababu hata moja ya kufanya waTanzania kuandamana, kwasababu mambo yote yanafanyika kwa uhakika na kiongozi wetu mkuu wa nchi Dr Samia Suluhu Hassan, dhamira, nia na mipango yake iko wazi na matokeo yake yanaonekana dhahiri shahiri mchana kweupe kwenye maisha ya waTanzania kijamii, kisiasa na kiuchumi 🐒

labda maandamano ya mihemko, kuporomosha matusi na kutukana mitandaoni 🤣
 
Hawa Gen Z wa Tanzania saa ngapi watafanya maandamano na wote sasa hivi kama si mabilionea ni mamilionea.

Wengi wao wana nyumba nzuri, wana magari mazuri, wana mashamba mazuri,

aliyekosa kabisa basi hakosi viwanja ambavyo hajajenga, japo viwili.

Na 90% bado hawajarudisha mikopo.

Tanzania hakuna ujinga, ukiona kijana anashindwakujiendeleza ujuwe huyo ni mvizu sana au ana matatizo kiafya.
 
 
Huu uzi ni sarcasm. Lakini fresh hizo paragraphs zimewapa ujumbe mzito watawala.
 
Mbona hujaweka namba yako ya simu akitaka kukupata atakupaje.
 
Yani waandishi wa habari bila kuwa MACHAWA hawawezi kuishi? Unajionaje kila siku unatukanwa humu kwa hoja hizi, na bado unasifia UJINGA.

Au hawa wanao kataa hoja zako sio watanzania?
Jamani si ndiyo maana ya democracy, wengine wanapenda,na wengine hawapendi! Na badala ya kumtukana,ni bora akajibiwa kwa hoja!! Asanteni sana naomba kuwasilisha!!
 
Huu uharo ulioandika hapa,
Muulize Osin Mubarak, na viongozi wengine wa nchi za, kiarab kama kuna siku walifikiri wanaweza, wwkwpinduliwa na wananchi,
Haya, maisha tunayoishi Leo TZ, ya, taasisi za, usalama za, nchi kuteka, kupiga, kuua, wakenya, waliyapitia 50 mpaka 90+, wakati wa, kenyata, na, Moi, watu waliuawa, wengine walikimbilia uhsmishoni, Kama Odinga, damu ilimwagika kufika ili kufikia kiwango cha wanachi kudai haki zao,kama Leo,
Samia na CCM yake wanaogopa Sana wansnchi wakijua haki zao, Ila siku wakijua uhusiano uliopo Kati yq CCM na umaskini wao,mtatafuta pa kutokea
 
Serikali ya CCM Ina majawabu ya maswali yote ya watanzania ndio maana imeendelea kuaminika na kuaminiwa na wananchi.ndio maana hata upinzani umekosa hoja za kuzungumza majukwaani pale ulipopewa nafasi ya mikutano ya hadhara.wapinzani wamebaki na kazi ya kutukana tu mimatusi
 
Umeongea ukweli mchungu.
 
Mwandishi ni Lucas Mwashambwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…