Soma unaweza jifunza kitu: Jinsi graduate nilivyopoteza 1.8M niliyoitafuta kwa jasho

Mkuu extrovert pole sana. Mimi nilipigwa kama dollars 800 hivi hadi nililetaga uzi humu 2019. Nimemkopesha jamaa toka kwa mikono yangu halafu nikimdai ananiambia nikitaka nimuue ama niende popote.
dollar 800 ni tsh ngapi kibongo bongo
 
Kwenye harakati za utafutaji kupoteza ni sehemu ya maisha.

Jambo la msingi ni kupambana kupunguza risk za kupoteza.

Mimi nilifanya kazi za usiku, nikakusanya zaidi ya 1M nikaenda kulima mihogo huku Kibiti. Haikurudi hata 100.

So, ni kawaida tu.
Kazi za usiku ndio zipi? Mkuu
 
pole sana natamani uni pm niweze kuwa karibu na wewe ili niweze kukushauri kwa karibu ila usikate tamaa up and down zipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…