Soma upate mawili matatu: Kwa umri huu, haya nambo yafuatayo Nimeyashuhudia na kuyapitia

...A Fool and his Money are Easily Parted...!
 
Kuna mtu alikushauri ubadilishe jina la hapa jf. Kwani unapoingia jf kujadili masuala mazito na magreat thinkers jua unaingia kiroho tena altareni kabisa kwani huwa unafunguka ya moyoni.
Badili kwanza hiyo id name. Wa pm mods wakusaidie.
 
Mchungaji hana analoweza kutenda pasipo Yesu Na majibu ya Mungu anayatoa Kwa majira Na wakati yeye autakao
Yesu mwenyewe alishindwa kujiokoa msalaban je ataweza kusolve matatizo yako?

Watu wana elimu lkn bado wameweka utegemezi kwenye mambo ya kipumbavu, hatukatai umuite huyo pasta akusaidie lkn ulitakiwa utumie akili ya kuzaliwa kumuelewa kama ataweza kukusaidia ama kukuongezea matatizo.

Hatukatai kuna waganga wanaosaidia lkn je wew ulikutana na mganga ama mpiga dili? Haya yootr hayahitaji ujazo wa Roho mtakatifu kuyajua juu ya huyo unayemtegemea akusaidie, kuna mambo ukiyaona tu unagundua hapo hakuna msaada zaidi ya upigwaji.

Mtu akija kwako na shida kama unacho msaidie na usimkopeshe kamwe kulinda heshima na ukaribu wenu, as known watu hawana pesa kipindi kigumu hiki na si kwamba wanafanya makusudi kutolipa bali uchumi umeyumba, so kama unacho msaidie na kama hujisikii mpotezee maana kutoa si lazima just ubinadamu na utu tu

Mengine jitafakari na chukua hatua, Kila jambo liko ktk uwezo wako wa kutatua

JF idumu milele
 
Nimecheka saana sababu yote nilipitia kasoro kwa mganga sijaenda. Kuliwa nimeliwa sana tu ndugu yangu. Wanaokopa kwako ni wale watu wako wa karibu na wale mnaotaniana.
Hapo sasa. Ikifika mwaka au miwili wanakuja wakifikiri umesahau.
 
Umeeleweka mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…