Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
😆😆😆 imebidi nicheke, pole sanaHilo no (b) -Niliibiwa simu nilipokuwa sec nikaenda kuwaona hao raia wakasema nitaipata na dawa nikapewa ile kurudi shule nikafukuzwa........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😆😆😆 imebidi nicheke, pole sanaHilo no (b) -Niliibiwa simu nilipokuwa sec nikaenda kuwaona hao raia wakasema nitaipata na dawa nikapewa ile kurudi shule nikafukuzwa........
HhahaKuna mtu alikushauri ubadilishe jina la hapa jf. Kwani unapoingia jf kujadili masuala mazito na magreat thinkers jua unaingia kiroho tena altareni kabisa kwani huwa unafunguka ya moyoni.
Badili kwanza hiyo id name. Wa pm mods wakusaidie.
Sahihi, nimejifunza mimi mtu anakopa vizuri wakati wa kurudisha anakunyamazia simu hapokei na kijiwe kahama. Siji kurudia.Kamwe usimkopeshe mtu bila kuweka kitu chake kwako dhamana.
Hapana mkuuNdondocha we una Hela sana za kugawa gawa eeeenh
SahhNyakati zimefanya watu pia wabadilikwe na roho..
Yesu mwenyewe alishindwa kujiokoa msalaban je ataweza kusolve matatizo yako?Mchungaji hana analoweza kutenda pasipo Yesu Na majibu ya Mungu anayatoa Kwa majira Na wakati yeye autakao
Nimecheka saana sababu yote nilipitia kasoro kwa mganga sijaenda. Kuliwa nimeliwa sana tu ndugu yangu. Wanaokopa kwako ni wale watu wako wa karibu na wale mnaotaniana.Wakuu habari za majukumu mbalimbali ya ujenzi wa Taifa.
Ni miezi kadhaa sijaleta thread hapa, tangu nilete ile thread ya jinsi nilivyopoteza 1.8M ndani ya siku chache.
Leo nimekuja tushare mambo mbalimbali ambayo nimeyapitia na nimeyaona hadi umr huu, yanaweza kukufundisha au kukupa exposure zaidi katika hii dunia..
a) kuna kipindi nilikuwa na matatzo fulani ya kifamilia ambayo yalihitaji maombi ikiwemo kuombewa na watumishi wa mungu, niliweza kumtafuta mchungaji mmoja maarufu kidogo katika mkoa niliopo, nilimsimulia yote, nilimuamini sana, lakini aliishia kuniomba ela akisema nimpatie kama sadaka ndani ya bahasha, aliishia kuramba elfu 50 yangu, tangu wakati huo sina imani na watu wanaojiita wachungaji.
b) kuna wakati niliibiwa simu yangu ambayo nilinunua katika kipindi kifupi kwa shilingi laki nne, niliumia sana, nilimtafuta mtaalamu haweze kunisaidia kuipata, mara ya kwanza naendq kwa mganga, aliniaminisha nitaipata simu yangu, huku akinipa mifano ya majiran ambao walipita kwake na kupata vitu vyao, alifanikiwa kuramba elfu 40000 yangu na simu sikupata, tangu wakati huo siwaamini tena hawa waganga hasahasa katika swala la kupata simu iliyopotea.
c) wakuu kuna kipindi nilikuwa navolunteer katika taasisi flani ya elimu bila ya malipo yoyote, lakini swala lililonishangaza ni kuona watumishi ambao wameajiriwa na serikali na wanamshahara mzuri sana wanakuja kunikopa, sio kunikopa bila riba yoyote na kukaa na ela kwa muda mrefu na kuja kuongeza deni juu ya deni, haohao wanakopa milioni 8 ,o au 15 benki lakini hawakukumbuki hata kwa elfu 5 au 10, lakini wakubanwa wanakuazima bila ya huruma, wanachukulia mtu kwa age ya 25'S huna majukumu wakati ni muda sahihi wa mtu kujipanga kimaisha.
d) Wakuu katika umri huu , niliweza kupoteza ela 1.8M kwa muda mfupi sana , ela ambayo niliitafuta kwa miezi zaidi ya 6, niliumia sana, nilikata hadi tamaa,ila kwa muda wa miezi ileWile sita nilitengeneza zaidi ya ile hela. Hapa nilijifunza pesa inahitaji nidhamu sana.
e) Wakuu katika swala la kuazima watu ela nimegundua watu wengi sio waaminifu kabisa, unaweza mpa mtu 70000 akakuahd mwsho wa mwez nitakupa lakini ikifika anakupa40000 na ahadi kibao alafu kati ya mwezi anakuazima tena 80000. Au mtu anakuazma elfu 10 harudishi, anajisahau anapata shida kubwa anakuazma laki 1, binafs kwasasa siwez kukupatia. Katika hili nimejifunza unapoahd kumlipa mtu ela yake jitahd umpe ontime, sjida haziishi.
Asante Jf HOMN
Umeeleweka mkuuYesu mwenyewe alishindwa kujiokoa msalaban je ataweza kusolve matatizo yako?
Watu wana elimu lkn bado wameweka utegemezi kwenye mambo ya kipumbavu, hatukatai umuite huyo pasta akusaidie lkn ulitakiwa utumie akili ya kuzaliwa kumuelewa kama ataweza kukusaidia ama kukuongezea matatizo.
Hatukatai kuna waganga wanaosaidia lkn je wew ulikutana na mganga ama mpiga dili? Haya yootr hayahitaji ujazo wa Roho mtakatifu kuyajua juu ya huyo unayemtegemea akusaidie, kuna mambo ukiyaona tu unagundua hapo hakuna msaada zaidi ya upigwaji.
Mtu akija kwako na shida kama unacho msaidie na usimkopeshe kamwe kulinda heshima na ukaribu wenu, as known watu hawana pesa kipindi kigumu hiki na si kwamba wanafanya makusudi kutolipa bali uchumi umeyumba, so kama unacho msaidie na kama hujisikii mpotezee maana kutoa si lazima just ubinadamu na utu tu
Mengine jitafakari na chukua hatua, Kila jambo liko ktk uwezo wako wa kutatua
JF idumu milele
Kiswahili lugha yangu unakufa kifo kibaya, wanakuua bila huruma, hawajui umetoka wapi, umepitia magumu ganiniliweza kupoteza ela 1.8M kwa muda mfupi sana , ela ambayo niliitafuta kwa miezi zaidi ya 6,
Madini tena
Njoo Maganzo Shinyanga Tupate Cash Hata Ukichimba Choo Kidogo Madini Nje Nje
Njoo Maganzo Shinyanga Tupate Cash Hata Ukichimba Choo Kidogo Madini Nje Njesitafuti kaz mkuu
Duuu hii kaliWaliotafuta pesa kwa tabu hawazitoi
kirahisi, wanaotoa kirahisi hawana
malengo, wenye malengo hawana
pesa.