Ndondocha mkuu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 2,490
- 2,965
- Thread starter
- #181
Ameni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameni
AmenAmeni
Hii thread ulileta 2020 leo 2024/2025 naomba uniambie life bado ni lile lile au limebadilika!?Ameni
Hahaha mzee life limebadilika mzee, nilitoka huko kitambo kidgo.Hii thread ulileta 2020 leo 2024/2025 naomba uniambie life bado ni lile lile au limebadilika!?
HahaaaWana JF wanapendaga mtu kama huyu ambae life limemgonga. Sasa njoo ujifanye una hela utagongwa na kutukanwa asubuhi mchana jioni utafikiri kuwa na pesa ni dhambi
Safi mkuu.Hahaha mzee life limebadilika mzee, nilitoka huko kitambo kidgo.
Umeongea kitu kikubwa sana Kiroho.Mwanangu badilisha jina ndio Mana unafanya kazi tofauti na elimu lazima utaishi tu Kama ndondocha.
Ilitakiwa utu update ilikuwaje kuwaje ukatoka kuleHahaha mzee life limebadilika mzee, nilitoka huko kitambo kidgo.
AmenUzi wa kijinga sana huu
Ukiwaambia unatembelea benz unatukanwa eWana JF wanapendaga mtu kama huyu ambae life limemgonga. Sasa njoo ujifanye una hela utagongwa na kutukanwa asubuhi mchana jioni utafikiri kuwa na pesa ni dhambi