Soma vitabu hivi uwajue mashujaa wa Uhuru wa Tanganyika

Soma vitabu hivi uwajue mashujaa wa Uhuru wa Tanganyika

Galileo...
Vitabu hivi havipatikani mikoani viko Dar-es-Salaam tu:

Screenshot_20210817-142210_Facebook.jpg


Screenshot_20210817-065227_Photos.jpg
 
Kuna watu wanachukia ukiwataja watu wengine kama nao wameshiriki katika harakati za kutafuta uhuru wa Tanganyika wao wanataka wasie Nyerere tu.
Kugi...
Mimi nilikuwa nashangaa kusoma labour politics Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam sioni babu yangu Salum Abdallah kutajwa.

Yeye ni founder president wa Tanganyika Railways African Union (TRAU)1955 na aliunganisha TRAU na TANU kupambana na Mwingereza.

Salum Abdallah kafanya makubwa katika kupigania uhuru wa Tanganyika.

Nilipoona kuwa historia ya Tanganyika imekosewa ndipo niliponyanyua kalamu kueleza yale ambayo wengi hawayajui.

Sasa kama mtu atachukia mimi kuandika historia ya wazee wangu hiyo ni bahati mbaya sana kwake.

Kila uchao nafanyiwa mahojiano kuhusu historia hii.

Hiyo picha hapo chini ni 2016.

Screenshot_20210817-173343_Photos.jpg
 
Wewe ni mdini sawa na magufuli tu,
Enzi za JK ulikua hukomi humu JF kwa uchochezi.
Akaja JPM ulipotea kama upepo wa kisulisuli, sasa kaja Maza umerudi kuchokonoa.

Hebu tueleze na historia ya CORONA maana mahadithi yako yasio na utafiti wa kisayansi na yasiyokua na tija huko mbeleni yanachosha
 
Hivi Tanganyika uhuru ulipiganwa au tulipewa tu na Waingereza?Sijasoma popote pale watu kupata madhara kwa wanaotajwa kupigania uhuru!

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom