Soma vitabu hivi uwajue mashujaa wa Uhuru wa Tanganyika

Galileo...
Vitabu hivi havipatikani mikoani viko Dar-es-Salaam tu:



 
Kuna watu wanachukia ukiwataja watu wengine kama nao wameshiriki katika harakati za kutafuta uhuru wa Tanganyika wao wanataka wasie Nyerere tu.
Kugi...
Mimi nilikuwa nashangaa kusoma labour politics Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam sioni babu yangu Salum Abdallah kutajwa.

Yeye ni founder president wa Tanganyika Railways African Union (TRAU)1955 na aliunganisha TRAU na TANU kupambana na Mwingereza.

Salum Abdallah kafanya makubwa katika kupigania uhuru wa Tanganyika.

Nilipoona kuwa historia ya Tanganyika imekosewa ndipo niliponyanyua kalamu kueleza yale ambayo wengi hawayajui.

Sasa kama mtu atachukia mimi kuandika historia ya wazee wangu hiyo ni bahati mbaya sana kwake.

Kila uchao nafanyiwa mahojiano kuhusu historia hii.

Hiyo picha hapo chini ni 2016.

 
 
Hivi Tanganyika uhuru ulipiganwa au tulipewa tu na Waingereza?Sijasoma popote pale watu kupata madhara kwa wanaotajwa kupigania uhuru!

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…