SOFTWARE Soma vitabu vya kiswahili kwenye hii app

SOFTWARE Soma vitabu vya kiswahili kwenye hii app

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Humu kuna vitabu mbalimbali vya kiswahili. Tumebadili namna ya ulipaji. Sasa unaweza kusubscribe kwa Tsh 6000 na kusoma vitabu vyote mwaka mzima. Kila mwezi tunaongeza vitabu kadhaa.


1610523984595.png
 
Vichache sana Karibia vyote nishavisoma.kasoro hicho cha ijue pombe kama unaweza ongeza vingine
 
App inazingua hii
Nime i unstall, labda iboreshwe kwanza
 
Wakuu, kuna ofa. Hiki kitabu cha ifahamu pombe unaweza kukipakua bure. Ofa inaisha jpili saa kumi na mbili jioni. Nenda kwenye post ya kwanza kuinstall app toka playstore.
IMG_20210205_221145_376.jpg
 
Back
Top Bottom