Somali- english translator wanted urgently

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
3,811
Reaction score
1,607
Anahitajika mtu mwenye ujuzi wa kutafsiri Kisomali kwenda Kiingereza.
Ni kazi inaweza kuchukua hadi miaka mitatu na malipo sio mabaya.
Kwa mfano, ukurasa mmoja wa maneno 450 ni TZs 32,400.
Anaye hitaji au kumfahamu mtu mwenye uwezo, amjulishe (na) awasiliane na mimi kwa PM.
 
loation ya kazi wapi mkuu
 
tuma advance basi ya maandalizi........
Mkuu hakuna tatizo, lakini nimesema hii kazi unafanya nyumbani, ofisini au hata juu ya mwembe muhimu uwe na kompyuta na internet tu.
Hata hivyo ikiwa unataka advance, naomba uniwekee hapa Bank Account yako au Credit Card yako, (usisahau kuweka secret number ili niweze kukufanyia transaction - lol).
 
haina shida nitafanya hivyo maana ndio kazi inaniweka mjini hapa....asikwambie mtu kuwa translator hela inakuja mpaka chumbani!!!
kweli usije mjini!!!!!!
 
Al Shababu @ Work :lol:
Mkuu, usilolijua bora kuuliza. Hii kazi dhamiri yake ni vita dhidi ya hao al-Shabaab katika sehemu yote ya Pembe ya Afrika, ikiwemo Tanzania. Mimi ni mmoja miongoni mwa wafanyakazi katika hii tovuti.
Kwa maelezo zaidi unaweza kutembelea: HAPA
 
wariya maxakadonesan somalidha adommo batixin somalidha waig acgli badhanixin jirrir badixin.
 
Back
Top Bottom