Somalia: Al-Shabab wateka hoteli Mogadishu

Somalia's new president, Hassan Sheikh Mohamud, said last month that ending Al-Shabab's insurgency required more than a military approach. But he added that his government would negotiate with the group only when the time is right.
Mweh
 
Yaani hii yote ni kwamba shida ni wale mabikra tu. ๐Ÿ˜› ๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›
 
 
Ukitaka kujua hao ni watu wa dini au la, soma maandishi kwenye bendela yao. Yameandikwa haya maneno kwenye Bendela yao.

ู„ุง ุงู„ู‡ ุงู„ุง ุงู„ู„ู‡ ู…ุญู…ุฏ ุฑุณูˆู„ ุงู„ู„ู‡

Anayetaka kujua maana yake anaweza pata tafsiri toka Google translate.

Mi nafichua kidogo tu yanasema.

Hakuna Mungu isipokuwa.............
Na............ni mtume wake.
Sijataja dini yoyote hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ