Ladslaus Modest
JF-Expert Member
- Jun 27, 2008
- 635
- 27
ow...ooh okay, nasikia nchi zote zilizojiunga na IOC sasa zinafuata sharia na watu kadhaa wameshakuwa stoned to death!!??? na nchi hizo zote zimekuwa declared Islamic States, sijui nilidanganywa baba mchungaji?
Hapa mama yangu sitii neno maana ni mtego.
Ila ushauri wangu kwako na kwa akina mama wote mnaofuata hii 'dini' isusieni ili msipigwe mawe hadi kufa.
Kama ulikuwepo tatizo kubwa hapa ni hizo tamaduni za kiarabu. Kwa mfano zile za Iran ndio kabisaa, maana wafarsi na jamii hizo wanatamaduni tofauti kabisa na waarabu. Uislam stands kama ulivyo na uarabu kama ulivyo, so do Farsi na uswahili.
Wapo wanaoijua kwa undani na it is very interesting when you meet someone who knows the real Islam.
Mama hapa umeniacha kidogo,
Ningependa kujua tofauti kati ya Uislam na tamaduni za kiarabu.
Maana mie ninaonaga kuwa ni kitu kimoja tu,
sijaona muislam mwenye jina la kienyeji, majina yote ya waislam marafiki wangu pamoja na wengineo ninaowajua ni ya kiarabu.
(Kama lile jina yule mama muingereza alimuita mdoli, kidogo anyongwe hapo sudani).
Baba Mchungaji, mimi naitwa mama Mtombolaga. Labda kwako nitakuwa wa kwanza mwenye jina la kienyeji. Baba Mchungaji Uislamu ni dini ambayo kwayo ina mambo yaliyoamrishwa na kukatazwa kufanywa kwa anayekubali kuwa muislam. Uislam ni dini ambayo uhusiano wa muumin na Muumba wake ni direct, yaani haikupasi kupitisha maombezi kwa mtu mwingine, Mungu wako ndiye msaidizi wako, kiongozi, mlinzi na mambo kama hayo.
Baba mchungaji, Uarabu ni race kama ulivyo Uafrika, so sio lazima Muarabu awe Muislam au Muarabu ndio anayeujua sana Uislam au ndiye Muislamu sana. Waarabu nao wana makundi ya kijamii kama vile tulivyo Waafrika, ni kwamba tu sie tuna makundi mengi zaidi.
Mimi sio mjuzi wa mambo ya dini kabisaaa baba mchungaji, kama kuna ambacho hujaelewa utauliza na utajibiwa na wenye elimu.

Mimi naomba unielimishe kidogo
Sasa hiyo sharia imo ktk quran ama ni sharia ya waarabu tu,ama ktk sharia hicho kipengele cha kuwapiga mawe kimeongezwa kwenye sharia za waarabu? Lakini kama ni hivyo mbona wasomali sio waarabu wamekitoa kifungu hicho wapi maana nimeona yule anajiita shekh anasema biti alifurahi kuadhibiwa kwa mjibu wa quran.
Pili kusuhusu maombi umeongea kwamba ni kati ya Mungu na mtu husika ,sasa swali ni je? maombi yanakubalika tu kwa lugha ya kiaarabu? kwa namna nyingine je? Mungu anafahamu lugha ya kiarabu tu zingine hazifahamu na ndio maana ukiomba kwa kiswahili hamtaelewana??