Somalia: Girl stoned was a child of 13

He baadae mods waipeleke kwenye jukwaa la dini...naona watu wanatumia reference..za kweli...kuna vichwa balaa.....ila all in all this stoning women and leave men..sikubaliani nayo..na ni sharia ya kiislam ambayo inabidi kupigwa kwa nguvu kubwa...

Amini nakwambia kama ikikufika hii unakana dini yako..na kuendelea na mengine....kwani imejaaa uonevu kwa wanawake kuliko maelezo...wanaume wamepewa nafasi kubwa sana ya kufanya uzinzi.....na nafasi ya kuwapiga hata wanaofanya nao uzinzi..baada ya kukamatwa....this is really uislam....!!!
 
Mpendwa Mchukia Mafisadi,
Ombi langu ni kuwa: Mungu aisafishe CCM, iwe inakubalika zaidi kwa WaTanzania, iendelee kutawala hadi kiyama.
Mungu Ibariki Afrika na watu wake.

Mchungaji, unakumbuka ule msemo "Mvinyo mpya kwenye kiriba cha zamani?" Matokeo yake yatakuwaje?
 
Sidhani hata hayo mafundisho wa huyo mungu wao yansema hivyo...!

Xlaster, ndiyo maana hatutakiwi kuruhusu kutawaliwa na sheria za kidini. Ikiwa sheria za kawaida tu mahakimu na majaji hutofautiana kwenye kutoa hukumu seuze sheria za kidini? Mbaya zaidi ni kuwa hizo sheria za Sharia hukumu zake ni kali zaidi kuliko sheria za kawaida mfano kosa la uzinzi (ingawa sitetei uzinzi kwa nguvu zote) adhabu ni kifo tena sijawahi kusikia mwanaume ameuawa kwa kupigwa mawe ila wanawake tu!, mfano mwingine wizi-mtu anakatwa mkono kwa kudokoa embe kwa sababu ya njaa! Mfano mwingine, Mtu kuuwawa kwa kuamua kuikana imani yake na kuhamia Imani nyingine! Inaweza kutokea mamia ya watu wakahukumiwa kifo!



Thats why we are saying
 
Panua uelewa wako hapa tafdhali:


[media]http://uk.youtube.com/watch?v=0XggTTnXfSI&feature=related[/media]

Mkuu MtindiowaUbongo asante kwa hii ilimu.

Mkuu Mama, umemuona mama mwenzako wa kiarabu/kiislamu?

Ushauri wangu bado upo pale pale, akina mama wote (females) wa kiislamu, ususieni uisilam ili muishi, la sivyo mtaendelea kupigwa mawe hadi kiama.
 
Hapa mama yangu sitii neno maana ni mtego.
Ila ushauri wangu kwako na kwa akina mama wote mnaofuata hii 'dini' isusieni ili msipigwe mawe hadi kufa.

Kwa mujibu wa shria za Kiisalmu, kuisusia (kuikana) Imani hiyo pia ni kosa la kuuwawa, tena ndugu zako mwenyewe ndo wanaotakiwa wakuuuwe na kwa anayemuuwa aliyeiasi Imani anaenda peponi kwa kumuua 'muasi' huyo!
 

Wakuu Mama na X-paster mnasemaje hapa?
 
Sahih Bukhari V4 #464

The Prophet said, "I looked at Paradise and found poor people forming the majority of its inhabitants; and I looked at Hell and saw that the majority of its inhabitants were women."

Wakuu Mama na X-paster hapa mnasemaje?
 
Abu Dawud B2 #703:

Qatadah said: I heard Jabir ibn Zayd who reported on the authority of Ibn Abbas; and Shu'bah reported the Prophet (peace_be_upon_him) as saying: A menstruating woman and a dog cut off the prayer

Ndugu zangu, kama haya ni kweli, basi Mungu atusamehe wanaume maana tumewatesa sana wanawake.
 

God bless women
 
Sahih Bukhari B62 #121 :

The Prophet said, "If a man Invites his wife to sleep with him and she refuses to come to him, then the angels send their curses on her till morning."

Wakuu Mama na X-Paster mpo wapi?
Njooni mjibu mapigo.
 

Akina mama bado wanapigwa mawe hadi kufa.
Mungu saidia watu wako.l
 
Sahih Bukhari V8 B82 #803 :

from 'Ali when the latter stoned a lady to death on a Friday. 'Ali said, "I have stoned her according to the tradition of Allah's Apostle."

Mtu (mwanamke) anapigwa mawe kwa mujibu wa mila ya mtume wa mungu.
 

Ukimuoa mke wa babako unakatwa kichwa.
 
Mchungaji, unakumbuka ule msemo "Mvinyo mpya kwenye kiriba cha zamani?" Matokeo yake yatakuwaje?

Mkuu Ibrah kumbuka huu usemi pia: - Dhambi zenu zijapokuwa nyekundu sana, zitakuwa nyeupe kama theluji; zijapokuwa nyekurndu kama bendera, zitakuwa kama sufu.
 
natamani kuona hapo mahali pameandikwa mwanamke anapigwa mawe mwanamme anaachwa aende...nisaidieni!
 
Mkuu Ibrah kumbuka huu usemi pia: - Dhambi zenu zijapokuwa nyekundu sana, zitakuwa nyeupe kama theluji; zijapokuwa nyekurndu kama bendera, zitakuwa kama sufu.

Teh! Kwa hiyo CCM wanachotakiwa ni kutubu tu ili waendelee kutawala? Mimi nabaki na msemo wa mvinyo mpya; ili maisha bora yawezekane inatakiwa tubadilishe na kiriba (CCM) maana sitegemei mti mchungu kuzaa matunda matamu na kiriba cha zamani hakiwezi kuhifadhi mvinyo mpya, kitapasuka!
 
If some1 can not follow simple narratives its very sad..

Mtindio,
ahsante sana kwa hii ilimu, tuliyoipata hapa.
naamini kuwa ni wengi wamepata kujua mawili matatu juu ya hizi adhabu za kuua hususan kwa wenzetu waislamu.nadhani ni wakati mwingine muafaka kwao kuipokea hii changamoto na kuifanyia marekebisho hiyo 'katiba" yao ili iwatendee haki viumbe wote.na vitu kama hivi ndivyo vinazidisha wasiwasi tulionao watanzania wengi kusikia kuwa serikali iko kwenye mchakato wa kujiunga na OIC na kuanzisha mahakama za kadhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…