Somalia kuwa mwanachama wa 8 kujiunga Jumuiya ya Afrika Mashariki

Somalia kuwa mwanachama wa 8 kujiunga Jumuiya ya Afrika Mashariki

Umoja ni nguvu..
Umoja ni nguvu kivipi ?

Elezea utafaidika vipi na ki nchi unstable and ungovernable kinatafuta kujiegemeza kwenye jumuiya kipate security and stability support na maeneo ya kupeleka wakimbizi.

And whats the endgame, mtakuwa African Community ya Afrika nzima ? Tofauti yake na AU ni nini? Faida yake nini ?
 
Somalia wakiwa stable, watakuwa ni soko kwa nchi zingine, na wao watapata soko la bidhaa zao kwenye nchi za jumuiya
 
Njoo utembee Mkuu, hii dunia ndogo sana.....Huwa napitapita sana hayo maeneo...Kuna watu wanaishi kama wewe tu...Hautoamini wala hautojutia.....
Mimi ni mzungaji wa Dunia hii ila ukanda huo nimeishia Ethiopia tuu huko kwingine naona maisha ni hatarishi sana...Mogadishu nimeiweka kundi la Iran na Iraq sintoweza kuja huko hata iweje ila Eritrea naweza kwenda...
 
Back
Top Bottom