Umoja ni nguvu kivipi ?Umoja ni nguvu..
Somalia wakiwa stable, watakuwa ni soko kwa nchi zingine, na wao watapata soko la bidhaa zao kwenye nchi za jumuiyaUmoja ni nguvu kivipi ?
Elezea utafaidika vipi na ki nchi unstable and ungovernable kinatafuta kujiegemeza kwenye jumuiya kipate security and stability support na maeneo ya kupeleka wakimbizi.
And whats the endgame, mtakuwa African Community ya Afrika nzima ? Tofauti yake na AU ni nini? Faida yake nini ?
Njoo utembee Mkuu, hii dunia ndogo sana.....Huwa napitapita sana hayo maeneo...Kuna watu wanaishi kama wewe tu...Hautoamini wala hautojutia.....Duuh upo Mogadishu Mkuu?
Mimi ni mzungaji wa Dunia hii ila ukanda huo nimeishia Ethiopia tuu huko kwingine naona maisha ni hatarishi sana...Mogadishu nimeiweka kundi la Iran na Iraq sintoweza kuja huko hata iweje ila Eritrea naweza kwenda...Njoo utembee Mkuu, hii dunia ndogo sana.....Huwa napitapita sana hayo maeneo...Kuna watu wanaishi kama wewe tu...Hautoamini wala hautojutia.....