Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,537
- 13,004
Wanapigana na vijana ambao jioni wanataka warudi kula sembe kwao, hawataki kufa wale madogo. Alshabab ndio raha yake kufa!wacha nkuambie,Usilinganishe local Rebels na International terrorist Kama Alshaabab wenye wako ready kujilipua.Hao wa Mozambique ata hawana ujuzi,Ni rebel ya Juzi and is a local militia.