Hizo huwa ni stori tu mbona huwa wanajisalimisha au wanakimbia kwanini huwa hawpigani hadi mwisho?.Gaidi huwa haogopi kufa
Wewe mbona unaogopa?Gaidi huwa haogopi kufa
una uhakika ambacho hujui kuna miji inaongozwa na al shababu wanakusanya had kodiSomalia imepitia kipindi kigumu sana tokea kufa kwa serikali ya mwanzoni.
Ila kwa sheria ambazo wameweka ya kifo naona hata wale al shabab wenyewe wamekuwa kimya sana wakijua hakuna mabikira tena.
Somalia baada ya miaka ya mbeleni itakuwa imetulia na kuwa nchi salama sana
Una maanisha uongo wa Allah?Walikuwa wanaamini kuwa kuna 72 virgins baada ya kuuwawa vipi au wameushtukia uongo wa Mwarabu?!
Nadhani ni katika Dini mengine ni uzushi.Una maanisha uongo wa Allah?