Somalia wanazidi kupokea balaa ya Corona, 873 sasa, ila bora wao hawana usiri

Somalia wanazidi kupokea balaa ya Corona, 873 sasa, ila bora wao hawana usiri

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kule Somalia kirusi kinatamba na kuathiri wengi, hakichagui kama wewe shababi mvaa ndala wala nini, inaogopesha sana ukizingatia tunachangia mpaka mrefu na pia jamii ya Wasomali, hii inawezakua sababu za Eastleigh kupigika balaa. Hata hivyo nawapa heko pamoja na yote wao hawana usiri wala uwoga wa kuachia data, wanaisema kama ilivyo, wenzetu wa Kusini wameamua kutumia hasira na mikwara kunyamazisha corona, watatuponza sana haswa pale Mombasa maana huko huwa tunatangamana nao sana.

========

MOGADISHU, May 6 (Xinhua) -- Somali health ministry on Wednesday confirmed 38 new cases of the novel coronavirus, bringing the total number of infections to 873.

The Health Minister Fawziya Abikar said the majority of the cases, 35, were detected in Banadir, an administration area that covers the capital Mogadishu while three others were found in the semi-autonomous region of Somaliland.

Abikar said 12 patients recovered from hospitals in the past 24 hours, bringing the total number of recoveries to 87. The minister said 30 of the latest cases were male while eight others were female.

The minister said only one patient succumbed to the deadly respiratory disease, bringing the total number of deaths to 39.

The new cases are largely due to community transmission and the World Health Organization has warned that if the virus transmission is not slowed down rapidly, the patient surge and increasing demand for health care will overwhelm the country's fragile health system. Enditem


Source: China.org.cn
 
tz ni failed country! hovyo kabisa, aiseee ata somalia wanapimaa!
 
Bro... Tanzania hatupendagi ujinga.... don't bring your cheaper argument and expect Tanzania to sapport you.Hata kama umetumwa na Trump tutakutimua mbio.... Chinese have nothing here....No one is above the Kawa expect the Law itself.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kile kikombe kilichoagizwa kutoka kwa babu wa Madagascar kitafua dafu mkuu?[emoji16]
 
Ndo tunakisubiri maana tunauhakika nacho. Wewe endelea kusubir za [emoji238][emoji238] [emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16]
ki.gogo2014_B_2m4a7H0Y0.jpg
 
View attachment 1442687

Out of 558 tested Zanzibar claims to have 235 cases with 36 deaths

Duh! ila Zanzibar wanapambana japo kinawapiga sana, ni kakisiwa kadogo sana kale, halafu bora Bongo wameamua kuachana na shughuli yote maana sasa hivi wakiamua wawe wakweli wanaweza wakataja namba za kiajabu na kupanikisha taifa lote na kuzidisha hasira kwa mkulu.
Vyema walipata mlango wa kutokea kwa kucheza tikitaka za mapaipai, ila naona CDC Africa wamewajibu na kusema hilo haliwezekani.
 
Mbona huendelei kunisifu kupima na kutaja idadi ya maambikizi ckuhiz ? Au ndio maji yamezid unga
Duh! ila Zanzibar wanapambana japo kinawapiga sana, ni kakisiwa kadogo sana kale, halafu bora Bongo wameamua kuachana na shughuli yote maana sasa hivi wakiamua wawe wakweli wanaweza wakataja namba za kiajabu na kupanikisha taifa lote na kuzidisha hasira kwa mkulu.
Vyema walipata mlango wa kutokea kwa kucheza tikitaka za mapaipai, ila naona CDC Africa wamewajibu na kusema hilo haliwezekani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh, Zanzibar wako open kabisa yani mpaka inafurahisha, yani hata nataka wizara yetu ya Afya iwe inatoa summary statistics kwa jedwali kama hili ili kila kitu kiwe pamoja

Breakdown yao kali sana, ila Wazenji huwa sharp sana, nimewahi kufanya nao kazi...
 
Back
Top Bottom