Somalia wapiga marufuku Sambusa

010101

Senior Member
Joined
Dec 12, 2022
Posts
168
Reaction score
370
Al Shabab wamepiga marufuku kutengeneza na kula sambusa - Somalia.

Hii ni kutokana ina shape ya pembe tatu, yaani ni kiwakilishi cha Ukristo (Utatu Mtakatifu/Trinity)

Hichi kitu kimenishangaza kwa nini kisibadilishwe umbo la duara au mstatili, badala ya kuwanyima watu kitafunwa wanachokipenda kisa ujinga walio nao kichwani.

Au ndio udogo wa kufikiri?

Source : Somali Extremist Group Bans Samosas in Country

 

Redio au TV shababu ndiyo iliyotangaza hivyo kupitia antena ya Kanisa lako ?
 
Watengeneze tu hizo sambusa na wazile,ispokua wabadilishe muundo tu,ila ingredients ziwe zilezile
 
Kama ni kweli,basi alshabab hawana akili.

Ila inanishangaza Sana nchi zenye asili ya uislamu kujitetea mno dhidi ya ukristo. Uislamu haupendi challenge kabisa. Hii mbona Ni inshu ndogo Sana,sambusa si ni wazo tu la binadamu kuifanya iwe pembe tatu? Si wabadilishe waweke hata pembe sita au hata pembe Mia. Mbona kwenye ambulance msalaba wakabadilisha wameweka mwezi na nyota kwenye hizo nchi zao za kiislamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…