Frank I Ritte
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 1,003
- 1,350
Je! huu ujinga ni mafundisho ndani ya dini ya Kiislamu? maana hata kujitoa muhanga ili uende peponi ni mafundisho pia.Al Shabab wamepiga marufuku kutengeneza na kula sambusa - Somalia.
Hii ni kutokana ina shape ya pembe tatu, yaani ni kiwakilishi cha Ukristo (Utatu Mtakatifu/Trinity)
Hichi kitu kimenishangaza kwa nini kisibadilishwe umbo la duara au mstatili, badala ya kuwanyima watu kitafunwa wanachokipenda kisa ujinga walio nao kichwani.
Au ndio udogo wa kufikiri?
Source : Somali Extremist Group Bans Samosas in Country
View attachment 2473792