Kaka Unapitiliza na kuvuka MIPAKA.Yesu ndio matako gani huyo mzee?
Mwambie yee kiazi tu!
Nyinyi vijana wa Kizanzibari kuweni makini
Hujui unenalo.
Wasomali wakiwaona Waarabu mambo yanakuwa hivi
View attachment 1031611
Wakituona Sisi Waafrika wenzao Mambo ghafla yanageuka hivi
View attachment 1031612
Je kweli huu ni uungwana in Mbotela's Voice.
Kaka Unapitiliza na kuvuka MIPAKA.
Kuna Kifo baada ya Jf
Kuwa,Makini Na Imani za Watu
Nyinyi vijana wa Kizanzibari kuweni makini
Kijana chunga mdomo wako huko kukaa uhamishoni hakukuzuii kupatwa na laana
Unaweza kuongea na kuleta hoja zako,pasipo matusi.Nikifa unajua naenda wapi au ulijisomea kwenye kitabu alichochapa mwanadamu punguani kama mimi na wewe?
KIla imani lazima iwe scrutinized na kua ridiculed!
Cha ajabu hamtaki ridicule wala scrutiny wala kukosolewa?
What the fvck are you people?
Kijana tubuYaani wewe unadhani ni vita ya kidini,Uislamu na Ukristo?
Mimi sina dini wala siamini uchafu wowote kuhusu upumbavu unaitwa Mungu au shetani....
Hayo yenu nyie msiokua na uwezo wa kukabili dunia kama ilivyo bila kujipulizia manukato ya imani za kutunga ili mridhishe mioyo yenu!
Unaweza kuongea na kuleta hoja zako,pasipo matusi.
c vyema kutukana viongozi au mitume wa Imani za wenzako.
kupitia comments zako,unaweza kuwa kwazo kwa wenzako
kuwa Gentleman na usiwe Boy
Siku njema kaka
.
Kijana tubu
Kama wewe huna dini utakuwa umelaaniwaWewe ndio utubu kwa kuamini vitu visivyokuwepo!
Vitu vya kipumbavu,halafu unagombana na Wasomali sababu tu wao Waislamu wewe Mkristo,mnazidi leta divisions duniani sababu ya upumbavu wenu wa dini na miungu ya kipumbavu!
Kama wewe huna dini utakuwa umelaaniwa
Sasa tuache tuitangaze injili
Roho mtakatifu alikuwa anatutembelea.Nimelaaniwa wewe umejuaje au unapitisha judgements tu?
Nimelaaniwa kwa mujibu wa nani?Wewe?
Au Mungu kakupigia simu?
Hii jeuri ya nyie wenye miungu kujiona mna authority ya kupitisha judgements juu ya wanadamu wengine,ni vituko sana!
Hebu niambie karne ya 13 kushika chini kabla ya ngozi nyeupe yoyote kuja kijijini kwenu mababu zako walikua na huo Ukristo unaojiona ndio bora kuliko dini zingine zozote duniani?
Kwa definition yako,ni kwamba walikua wamelaaniwa sio?