Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wasomali wabantu watafute silaha wajilinde waache uboya na ujinga wa kulia lia oyyo wao wanafikiri kuna mtu atakayekuja kuwaonea huruma watafite chuma alafu uwekwe ulingoni!!View attachment 1031791
Ubakaji na uonevu wa Wasomali Wabantu ambao ardhi yao Ndio yenye Mafuta ya Petroli
Wanahitaji msaada wetu kwanza ardhi yenye utajiri Mkubwa wenye mafuta ni mkoa wao lakini sasa serekali ya somalia inapeleka wasomali Kutoka Garissa ili wakaishi huko ili waling'ang'anie jimbo hilo.Hao wasomali wabantu watafute silaha wajilinde waache uboya na ujinga wa kulia lia oyyo wao wanafikiri kuna mtu atakayekuja kuwaonea huruma watafite chuma alafu uwekwe ulingoni!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yananihusu Wasomali Wanachukia Judeo Christianity halafu wanapenda sana kuwa Abused na warabu.
Waatu kama wewe ndio huwa mnafungwa mabomu na waarabu kuja kuwalipua Waafrika wenzenu.Judeo Christianity au Uislam unakuhusu nini wewe mweusi kama mkaa sawa na mimi hapa Tandahimba?
Unagombana na Wasomali sababu ya dini?
Wame-overstay,lazima wawe deported...
Nashangaa religious sentiments zimekuingia!
Dini zitawawehusha msipoangalia!
Waatu kama wewe ndio huwa mnafungwa mabomu na waarabu kuja kuwalipua Waafrika wenzenu.
Chunga kijana ukila shaba kwa Jina la Yesu na ulegee.Nifungwe bomu?
Hivi unajua process mpaka mtu anafungwa bomu anakubali kufa nalo?
Unadhani ni mchezo mchezo!
Kuna process ya radicalization,lazima ipitiwe!
Na wanatumia dini yao kufanya hiyo process,bila dini wasingeweza!
Mimi nifungwe na muarabu bomu natokeana nao wapi na tangu lini mimi nikaamini dini,achilia mbali siamini kama kuna kitu kinaitwa Mungu au shetani,vyote naona mavi matupu!
Nyie mnaoamini supernatural being ndio ingredients muhimu ya radicalization process!
Wewe mpenda madini yenu ya Judea na hayo Ma-uislam na miungi yenu chungu nzima ndio mnaweza kuua wanadamu wenzenu sababu mkifa mnaenda kupewa bikira...
Yaani theory ya kipumbavu sana!
Hamna theory za kipumbavu na short sighted na zilizoleta maangamizi dunia hii kama DINI na kitu kinaitwa Patriotism!
Zote ni extensions za personal greed na ubinafsi wa kipumbavu kabisa!
Chunga kijana ukila shaba kwa Jina la Yesu na ulegee.