Somalia yaanza kuwafukuza Wakenya!

Somalia yaanza kuwafukuza Wakenya!

hqdefault.jpg

Waarabu wakimuangalia Kijakazi wa Kisomali huko Nairobi.
 
SomaliBantuBanaanbaxNY20150929_4.jpg

Ndugu zetu wanateswa hata kama ni Waisilamu
 
jareer.jpg

Ubakaji na uonevu wa Wasomali Wabantu ambao ardhi yao Ndio yenye Mafuta ya Petroli
 
220px-Somalia_farmers.jpg

WaSomali wabantu Wanafanyiwa Unyama kiasi cha kubakwa na Kuuwawa.
Wasomali wanaawaabudu Waarabu na kuwaonea Waafrika wenzao.
 
Somaliland-President-op-ed-subbed-1.jpg

Raisi wa Somaliland Muuse Biihi Abdi akiwa tayari kuisaidia Kenya iwapo vita Vitazuka
Huyu bwana Fighter pilot wa Mig' s na Phantoms.kasomea Marekani na USSR
 
Kenya yapata wap pesa kuendesha Vita Somalia kwa miaka 6 Sasa?
Je wakenya wanao uwezo thabiti wa kumpiga msomali ambaye hata mda flani marekani alitoa kambi kwa kichapo?
Wasomali wanna tabia ya kujiona kua na usupariority Kama vile waarabu!!
Na bill Shaka kipindi flani walitaka kujiunga na arabu league.
Lakini silaha na gharama za Vita wanapata wapi Hawa alshabab!!?
Je hakuna namna ya kuhakikisha anaetoa silaha na fedha anaangamizwa!!
Ni Nani huyu? Ana lengo gani huyu? Anafaidikaje na Vita hii?
Alaaniwe!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wasomali wabantu watafute silaha wajilinde waache uboya na ujinga wa kulia lia oyyo wao wanafikiri kuna mtu atakayekuja kuwaonea huruma watafite chuma alafu uwekwe ulingoni!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanahitaji msaada wetu kwanza ardhi yenye utajiri Mkubwa wenye mafuta ni mkoa wao lakini sasa serekali ya somalia inapeleka wasomali Kutoka Garissa ili wakaishi huko ili waling'ang'anie jimbo hilo.
 
Yananihusu Wasomali Wanachukia Judeo Christianity halafu wanapenda sana kuwa Abused na warabu.

Judeo Christianity au Uislam unakuhusu nini wewe mweusi kama mkaa sawa na mimi hapa Tandahimba?

Unagombana na Wasomali sababu ya dini?

Wame-overstay,lazima wawe deported...

Nashangaa religious sentiments zimekuingia!

Dini zitawawehusha msipoangalia!
 
Waatu kama wewe ndio huwa mnafungwa mabomu na waarabu kuja kuwalipua Waafrika wenzenu.
 
Arabization ya Eastcoast of Afrika inakamilishwa ati kusoma kuruani lazima ujue kiarabu je mungu ana kabila.
 
index.jpg

Maiti za makafiri wa Alshabab wakiwa jahanamu
 
Waatu kama wewe ndio huwa mnafungwa mabomu na waarabu kuja kuwalipua Waafrika wenzenu.

Nifungwe bomu?

Hivi unajua process mpaka mtu anafungwa bomu anakubali kufa nalo?

Unadhani ni mchezo mchezo!

Kuna process ya radicalization,lazima ipitiwe!

Na wanatumia dini yao kufanya hiyo process,bila dini wasingeweza!

Mimi nifungwe na muarabu bomu natokeana nao wapi na tangu lini mimi nikaamini dini,achilia mbali siamini kama kuna kitu kinaitwa Mungu au shetani,vyote naona mavi matupu!

Nyie mnaoamini supernatural being ndio ingredients muhimu ya radicalization process!

Wewe mpenda madini yenu ya Judea na hayo Ma-uislam na miungi yenu chungu nzima ndio mnaweza kuua wanadamu wenzenu sababu mkifa mnaenda kupewa bikira...

Yaani theory ya kipumbavu sana!

Hamna theory za kipumbavu na short sighted na zilizoleta maangamizi dunia hii kama DINI na kitu kinaitwa Patriotism!

Zote ni extensions za personal greed na ubinafsi wa kipumbavu kabisa!
 
luqman.jpg

Msomali akiwa amekula shaba huku miraa ikiwa imejaa mdomoni
 
Chunga kijana ukila shaba kwa Jina la Yesu na ulegee.
 
Back
Top Bottom