Somalia yaishtaki Kenya

Somalia yaishtaki Kenya

Hoshea

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
5,420
Reaction score
3,772
Mahakama ya kimataifa ya Umoja wa Mataifa inasema itasikiliza mzozo wa mpaka wa baharini kati ya Somalia na Kenya baadaye mwaka huu.

Somalia imelalamika kwamba Kenya kwa makosa imedai sehemu za maji yake kwenye bahari ya Hindi maeneo ambayo yana utajiri wa gesi na mafuta.

Mzozo huu unahusu eneo la zaidi ya kilometa za mraba 100,000.

Kenya inaliona eneo lake la mpaka likiwa kwenye mstari ulionyooka kutoka kwenye eneo lake la nchi kavu hadi kwenye bahari ya hindi ambalo litawapa eneo la ziada.

Somalia inasema mstari wa mpaka ni vyema uwe kwenye eneo la nchi kavu katika mwelekeo wa kusini mashariki ambao utalifanya eneo la ziada kuwa ni lao.

Chanzo: VOA Swahili
 
Bila shaka hili la mpaka halimo kwenye agenda ya alshabab.

kama limo,tutegemee uhasama zaidi kati ya wakenya na wasomali.
 
Duh hapo Kenya wanawaibia Somalia kimacho macho kbs
 
Wataachiwa wachimbe wamalize halafu Al shabab wanalipua kiuliiniii
 
HAKUNA KENYA BILA RUSHWA, NA HAKUNA RUSHWA BILA KENYA.
Kufanya dhuluma kwao ni utamaduni, ufahari na ujanja.
 
Patamu hapo..najua Wakenya wanaweza dai mpaka wa Kenya na Tanzania ufuate madai kama ya Somalia ila kisiwa cha Pemba kinaondoa uhalali huo!
 
Patamu hapo..najua Wakenya wanaweza dai mpaka wa Kenya na Tanzania ufuate madai kama ya Somalia ila kisiwa cha Pemba kinaondoa uhalali huo!
Dont worry, its just Kenya and Somalia, you don't have to tag Tanzania.
 
Wacha na yeye. He/she just wants a piece of the action.

Haha its so boring south minus SA just ingia BBC ama aljazeera uangalie news ni Ethiopia Kenya SA Nigeria Libya Tunisia Somalia and Uganda they are yearning for a piece of action juu chini
 
Naona Kenya wameamua kuwekeza kwenye vita endelevu na al-shaabab. In all probability, wakichukua hicho kipande Kenya will never be at peace, shaabab watawapigisha kwata mchana na usiku milele.
 
halafu kenya ina raia wasomali kibao, hili nalo ni jipu, wanaweza kusabotage ndani kwa ndani kwa faida ya "home squared"
 
😀 Kenya wanapenda kufa, kama vile sisi tunavyopenda maendeleo!

Now Wanajipanga kuisambaratisha Nairobi city
 
😀 Kenya wanapenda kufa, kama vile sisi tunavyopenda maendeleo!

Now Wanajipanga kuisambaratisha Nairobi city
 
ila huku nako sheedah...walimpa husein bashe uraia ilhal yajulikuna vzur tuuu yy na familia yake wanatokea dhobley somalia!!#fisiem
 
Hague imetuzoea sasa. bado hawajatosheka na hiyo emberacement walipata... ama wanataka kulipiza kisas

i sasa


IMG_20160528_092209.jpg
 
Back
Top Bottom