Somalia yamfukuza balozi wa Kenya na kumuondoa balozi wao Nairobi

Somalia yamfukuza balozi wa Kenya na kumuondoa balozi wao Nairobi

namna wanavyokitukuza kiingereza,ndivyo jinsi wameacha historia za mtu mweusi mwenzao na kukomaa kushoboka na waingereza.

hapo ukimuuliza akutajie mchepuko wa malikia elizabeth anaujua[emoji1787][emoji1787].
Malikia Elizabeth alikuwa malikia akiwa Kenya.
 
Kenya wanajikuta wao Ni USA ya Africa, Mara huku kwetu wapandikize Kigogo...Mara Kule sijui nani hivyo Sana Hawa watu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kumbe umeliona hilo. Wale jamaa wanahisi wao ndio wanapendwa na wazungu kuliko waafrika wote. Basi wazungu nao wamegundua nature yao ya kupenda kusifiwa sifiwa na kutaka symbolism. So wanawatumia wakenya against african leaders ambao ni wazalendo. Kenyans are pure puppetere. They love being arround with muzunguz
 
Nyie wajinga sana. Kama nyie ni wakombozi wa Afrika mbona hamkuikomboa Kenya kutoka kwa mabeberu? Mabeberu waliua Wakenya karibia laki moja wakati wa state of emergency 1952 wakati wanapigana na Mau mau. Wamama na watoto wakapelekwa kwenye concentration camp ambapo wengi walikufa kwa njaa kwa sababu beberu alikataa kuwapa chakula. Wanaume walipelekwa gerezani na kuteswa na kuuawa. Hata nchi ya uingereza imeomba msamaha kwa ushetani waliotufanyia na kutoa pesa kama fidia. Mbona nyie hamkutusaidia? Mbona sisi tulijipigania uhuru wenyewe na kufa kwa wingi ili tupate uhuru? Hakuna nchi yoyote ya Afrika iliyotusaidia kupata Uhuru. So nyamazeni nyie ni wapumbavu kabisa. Hata hamkupigania uhuru wenu mlipewa bure. We don't owe you anything. Hatuna deni lenu maana nyie hamkutusaidia.
 
Kweli fumbo mfumbie mjinga......nyie komaeni na uchumi wa bepari tu, huku maji marefu kwenu...umetoka kapa.....
Nimefungua uzi sasa hivi kuhusu jambo hili la kupigania uhuru. Kenya tumepigania uhuru wetu na nyie mlipewa uhuru wenu bure bila kumwaga damu
 
Nyie wajinga sana. Kama nyie ni wakombozi wa Afrika mbona hamkuikomboa Kenya kutoka kwa mabeberu? Mabeberu waliua Wakenya karibia laki moja wakati wa state of emergency 1952 wakati wanapigana na Mau mau. Wamama na watoto wakapelekwa kwenye concentration camp ambapo wengi walikufa kwa njaa kwa sababu beberu alikataa kuwapa chakula. Wanaume walipelekwa gerezani na kuteswa na kuuawa. Hata nchi ya uingereza imeomba msamaha kwa ushetani waliotufanyia na kutoa pesa kama fidia. Mbona nyie hamkutusaidia? Mbona sisi tulijipigania uhuru wenyewe na kufa kwa wingi ili tupate uhuru? Hakuna nchi yoyote ya Afrika iliyotusaidia kupata Uhuru. So nyamazeni nyie ni wapumbavu kabisa. Hata hamkupigania uhuru wenu mlipewa bure. We don't owe you anything. Hatuna deni lenu maana nyie hamkutusaidia.

hatukuisaidia hakika ndio sababu mpaka leo bado ni koloni lao[emoji23][emoji23][emoji23].
 
Back
Top Bottom