Somalia yamfukuza Balozi wa UN nchini humo

Somalia yamfukuza Balozi wa UN nchini humo

imhotep

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
55,997
Reaction score
88,219
Somalia inayosaidiwa na UN kwa kila kitu imemfukuza Balozi wa Umoja wa Mataifa Nchini humo
Balozi Nicholas Hysom ambae ni Raia wa afrika ya Kusini
Kosa la kufukuzwa ni balozi kuhoji mauwaji yanayofanyika dhidi ya Wasomali Wabantu.
_105029821_somalia051408880.jpg

Aliyekuwa Balozi wa UN ndugu Nicholas Hysom aliandikiwa barua ya PARSON NON GRATA kitu ambacho ni makosa makubwa.
 
Habari na Minong'ono inasema Serikali ya Somalia ilkuwa inamtaka balozi wao awe Sheikh Yusuf al Qaradawi kwamba yeye ndie anaheshimiwa na Al shababu

OrNJdb.gif

Pichani Sheikh Qaradawi akipokewa na Wafuasi wake huko Ughaibuni.
 
Hii video imenifanya nilie kwa uchungu!
 
Kinachoniacha hoi ni vipicha vyake vya kuunga unga

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Kijana wa kitutsi hupendi kuona tunawatete ndugu zetu Wabantu ambao wanafanana na Wahutu dhidi ya wasomali.
Acheni chuki dhidi ya wahutu wa Somalia.
 
Weka na kapicha basi

Sio kuwa sipendi wabantu ila maelezo na picha zako sina uhakika nayo saana uwe unatoa na chanzo basi

All in all mm ni muha pluc mnyamwezi

Ilhaan Omar akifurahia ushindi wake wa kuwa Congresswoman huko alivyorudi holida kijijini kwao mkoa wa puntland
 
Ilhaan Omar akifurahia ushindi wake wa kuwa Congresswoman huko alivyorudi holida kijijini kwao mkoa wa puntland
Unaona sasa na video zako ambazo zipo out of topic

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Ungekuwa karibu yangu ningekupiga bonge wa kwenzi aise mm napenda mademu black only

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Sasa wasomali hapa ndio umewamaliza anaweza kuvuta Shisha Gunia zima
 
Somalis are funny people , very arrogant and proud even when on the floor.
When the issue of KE vs SOmalia maritime border was trending, you should have heard the way they were arrogantly saying how they will crash KE, even those that are doing business in KE. Watu wa maajabu hawa.

Another nonsense they keep pushing is how they claim to have beaten Ethiopia in the Ogaden war. A region they were pushed out of and it's still EThiopian territory, unashangaa walishinda vipi kama kile walichokuwa wanapigania hawakupata???

This country is going no where...even if they achieve stability and peace, it will be just a matter of time before they engage another nation and then they get destroyed again...
 
Another nonsense they keep pushing is how they claim to have beaten Ethiopia in the Ogaden war. A region they were pushed out of and it's still EThiopian territory, unashangaa walishinda vipi kama kile walichokuwa wanapigania hawakupata???
Ushindi wa Miraa lakini asubuhi yake unakuwa umeshindwa.
Wasomali wakikuvamia wewe chukua magunia ya miraa pakaa Sumu kali halafu mwaga Barabarani jifanye umewakimbia halafu wewe rudi kesho yake na Bulldozer chimba kaburi kubwa wewe wafukie humo ili fisi zetu za EastAfrica zisije kuwakula na kufa.
 
Back
Top Bottom