imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Somalia inayosaidiwa na UN kwa kila kitu imemfukuza Balozi wa Umoja wa Mataifa Nchini humo
Balozi Nicholas Hysom ambae ni Raia wa afrika ya Kusini
Kosa la kufukuzwa ni balozi kuhoji mauwaji yanayofanyika dhidi ya Wasomali Wabantu.
Aliyekuwa Balozi wa UN ndugu Nicholas Hysom aliandikiwa barua ya PARSON NON GRATA kitu ambacho ni makosa makubwa.