Naona wasomali umewaamulia this time.
Kijana wa kitutsi hupendi kuona tunawatete ndugu zetu Wabantu ambao wanafanana na Wahutu dhidi ya wasomali.Kinachoniacha hoi ni vipicha vyake vya kuunga unga
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Kijana wa kitutsi hupendi kuona tunawatete ndugu zetu Wabantu ambao wanafanana na Wahutu dhidi ya wasomali.
Acheni chuki dhidi ya wahutu wa Somalia.
Ilhaan Omar akifurahia ushindi wake wa kuwa Congresswoman huko alivyorudi holida kijijini kwao mkoa wa puntlandWeka na kapicha basi
Sio kuwa sipendi wabantu ila maelezo na picha zako sina uhakika nayo saana uwe unatoa na chanzo basi
All in all mm ni muha pluc mnyamwezi
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Unaona sasa na video zako ambazo zipo out of topicIlhaan Omar akifurahia ushindi wake wa kuwa Congresswoman huko alivyorudi holida kijijini kwao mkoa wa puntland
Yaishe bhana tuendelee na mada yetuSasa ulitaka nikuwekee namna Ilhaan Omar anavyolia wakawati wa Kachabhale
Umependwa Richard irakunda usilaze damu
Kitambo kidogo nilikuwaga na manzi msomaliSasa wasomali hapa ndio umewamaliza anaweza kuvuta Shisha Gunia zima
Ushindi wa Miraa lakini asubuhi yake unakuwa umeshindwa.Another nonsense they keep pushing is how they claim to have beaten Ethiopia in the Ogaden war. A region they were pushed out of and it's still EThiopian territory, unashangaa walishinda vipi kama kile walichokuwa wanapigania hawakupata???