vulcan
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,742
- 2,459
😀😀😀 uko na bahati hawapo JF, they would have declared a fatwa on you.Ushindi wa Miraa lakini asubuhi yake unakuwa umeshindwa.
Wasomali wakikuvamia wewe chukua magunia ya miraa pakaa Sumu kali halafu mwaga Barabarani jifanye umewakimbia halafu wewe rudi kesho yake na Bulldozer chimba kaburi kubwa wewe wafukie humo ili fisi zetu za EastAfrica zisije kuwakula na kufa.