Somaliland imeapa kuisaidia Kenya iwapo Vita Vitazuka baina ya Somalia na Kenya

Jinga. Hivi kati ya Mau Mau na Majimaji ipi ilikua large scale uprising. Mau mau just around mount Kenya while maji maji took a half of Tanganyika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawajamaa wanaongea lugha moja nchi nzima lakini kila siku vita! the only solution ni Somalia igawanywe iwe vi nchi vidogovidogo, Somaliland, Somali, Puntland, alafu Jubaland ambayo inapakana na Kenya yaani kila major Clan iwe ni nchi ya kivyake.
 
Kenya ni African with inferiority mentality toward European

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No Any True African country can risky anything to support Kenya. As matter of fact you didn't support any African country, you always a Mzungu Friend so put your hope to America and US to support you.

In Mozambique you Supported Boers puppet.

In SA you supported Boers.

You do value money and only money. Kenya the Money upfront country

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jinga. Hivi kati ya Mau Mau na Majimaji ipi ilikua large scale uprising. Mau mau just around mount Kenya while maji maji took a half of Tanganyika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Stupidity of the highest order, what were their effectiveness? Mau mau was around mt Kenya because the white settlers had occupied the land in that area. Wale majimaji walikua wanakufa kama burukenge Kwa ujinga wao don't you ever dare to compare them with our gallant mau mau even mekatilili led team was more effective than those folks.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jinga. Hivi kati ya Mau Mau na Majimaji ipi ilikua large scale uprising. Mau mau just around mount Kenya while maji maji took a half of Tanganyika.

Sent using Jamii Forums mobile app
You stupid maumau was everywhere in kenya central,eastern,western but ilikuwa strong around mount kenya,but maumau ilikuwa na pple from everywhere( Meru,kikuyu,kamba,kalenjin,luo,maasai,kisii) but most were from mount kenya,,i dont know about majimaji coz am not Tanzanian lakini huwezi nifunza bout my history,nyi hujiona sana kujua kenya,you know shit about my Country stick to your stupid history,n how come mlikuwa na revolution na wazungu never stayed in Tz,unasound tu ka school drop out,from what we know wazungu in East n central africa stayed in kenya,hizo zingine walizi rule from Britain so mbona muwe na uprising ama ni uchawi enu
 
Kenya ni African with inferiority mentality toward European

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa,nyi wenye hamna inferiority mko wapi,your still Lcd country despite having kila kitu,land,food,security yaani mna kila kitu lakini ,mungu ni mjanja hapeangi mtu kila kitu,aliwapea land minerals,uchawi etc lakini akawanyima akili ndo maana cant argue with you unafikiria ka mtoi wa grade 2 huku kenya,Kenya tuna shida lakini mungu alitupea akili na (European inferiority )
 
First you dont put your hope (to America)we put our hope( in) You sound stupid what do you mean by we put our hope in America and US aren't they the same hahah stupid tanzanians mbali penye mnajua ni Arusha,And dont generalise africa We helped ethiopia and also South sudan,thats why their flag nika yetu,think before you talk and pia Congo and Rwanda so acha kuwa mjinga and so you know Ethiopia has a very strong army so why shud we need help kutoka kwenu and we have one of the best army in Africa,n btw we dont need africans to support us juu when we were fighting for our freedom apart from Ethiopia no African country helped us so mbna si tuwa support as kenyans hatukuangi wajinga hio level we very proud,Only God was with us during our fight and its only him we nees nyi Africans wengine jiekeni Tissue kwa matako
 
Kimtazamo Majimaji Revolt na MauMau lengo lilikuwa ni Moja, lakini MauMau walikuwa ni Wajanja kwenye Timming, walingoja Waingereza wajenge Nchi kwanza mpaka wamalize.

Waingereza waliijenga Kenya bana sio Mchezo na Pia Wagikuyu walishaanza Kusomeshwa na kuanza Kuelimika.

Wagikuyu pia walikuwa wamekubali Ukristu kwa wingi na hivyo Muingereza akawa hana wasiwasi.

Ndio Mashujaa akina Didan Kimathi wakalianzisha.

Upande wetu hatukufanya Subira na Mjerumani alikuwa ameanza kujenga Nchi Mkoa wa Tanga Kushuka Dar South East Coast.

Kulikuwa na Fake Treaties na Baadhi ya Makabila,Mjerumani Alijenga Kilimanjaro Area baada ya kuingia mikataba na Wenyeji

Ila Shujaa Kinjekitile ngwale alikuwa hajasoma akawahi kutangaza kuwa kuna Dawa inayoitwa Hongo ina uwezo wa kuzuia Risasi na kufanya risasi hiyo kuwa maji

Kwa hiyo Kabila Moja la Wakenya ilitumia Ujanja wa Kisomi na kuanzisha Revolt na Baadae ikawa Movement ya Maumau halafu Hata Baada ya Kupewa Uhuru hawakuwafukuza Waingereza wakakaa nao na Kusomeshwa hadi leo sio rahisi Kuwaburuza Wakenya kuwapeleka Kusikojulikana Katiba yao ni Noja ya Katiba Bora kabisa Duniani ninaweza kusema kuliko ya Waingereza.

Wakenya ni wajanja mpaka tunawaogopa
Sisi kwa upande mwingine Bahati mbaya ndio iliyotuandama

Na Political Blunders tulizozifanya zilituathiri kwa mfano Vita ya Uganda tulipofika Mtukula tungeweza kuanzisha Rebel Movement na walikuwepo akina Mseveni na Ojok wao tungewapa msaada tu wangefika Kampala.lakini tukaingia na kupata hasara kubwa kiuchumi.

Tulipofika Mtukula Mwalimu alisita kuvuka Mpaka na kuingia Uganda nadhani alitaka Kuwatuma Akina Museveni na wenzake na Trust me wangeweza kazi sisi tungeweka buffer zone la kama kilomita 50 ambalo Hao Wakombozi wangekuwa wanalitumia kwa mashambulizi gharama ya vita ingekuwa ndogo.

Blunder Nyingine Ujamaa na Kujitegemea hii ndio ilikuja kutumalizia mbali.
 
Nakupenda Kwa kitu kimoja maana huwa unasema ukweli mtupu,ila vitu viwili umekosea,moja Kenya haikujengwa na wazungu imejengwa na wakenya wa kisasa ,pili mkikuyu hakusomeshwa Sana na mzungu Kwa sababu alikua rebel mzungu alisomesha yale makabila ambayo yali collaborate ndio maana akina saitoti na Kenyatta walijifanya wamasai wakasomea umasaini na hata jina Kenyatta limetoka Kwa wamasai.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsanti kwa kusema kenya ni wajanja hahaha hio sio uongo bro,Na waingereza hawakuijenga kenya ilikuwa joint kinda thing btw kenyan blacks,kenyan indians na whites ndo walijenga kenya sana sana big counties na nairobi sketch yake pia
 
Kabla ya Ujio wa Wakokoni kenya Mmasai alikuwa akisumbua sana makabila ya Kibantu masai walikuwa wakivamia na kuiba Ng'ombe hata Wataita Taveta waliokuwa wakiishi milimani kwa ajili ya Uvamizi wa Maasai,Kwa hiyo Wagikuyu kukaa huko Central Kenya walikuwa wakishambuliwa Sana na Wamasaai na nduo maana walikaa milmani

Baada ya Mkoloni kuja Wagikuyu wakapata Golden Chance ya kumkubali Mkoloni ili wapate Protection na Baada ya kushirikiana na Wakoloni na kukubali dini ya Kikristu kitu ambacho Wamasai waliukataa Ukristu mpaka leo kuna maasai Sio wakristu bado wanaabudu mambo yao
 
Ahsanti kwa kusema kenya ni wajanja hahaha hio sio uongo bro,Na waingereza hawakuijenga kenya ilikuwa joint kinda thing btw kenyan blacks,kenyan indians na whites ndo walijenga kenya sana sana big counties na nairobi sketch yake pia
Waingereza waliijenga kenya kwa sababu walikuwa hawana mpango wa kuiachia Kenya walipanga kuwa Kenya ingekuwa kama New Zealand Maoris hata wafanye nini waingereza hawawezi toa Uhuru hii inatokana na Hali ya hewa ya Kenya na Ardhi yenye Rutuba na Kwa Upande Mwingine Kenya ni Nzuri kijiografia angalia Central kenya angalia Rift Valley angalia Coast angalia Elgon nk.
 
Masai collaborate na Ndio maana mwengine yupo Tanzania mwengine Kenya kukubali ukiristo haimanishi ulikua umekubali mzungu traditional churches bado zipo Kenya hadi leo kutoka makabila yote ya Kenya mkikuyu alikataa mzungu toka mwanzo maana alichukua shamba lao Masai alikubali mzungu sababu alikua weak and alitaka protection dhidi ya neighbours wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alamsiki, kesho panapo majaaliwa nitakuwekea vitabu hapa vilivyoandikwa na Wamissionary wenyewe halafu tutaziangalia hizo hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…