Nimefuatiliaa hoja zako zote niliyo yaaona juuu yako NI
Kudanganya na uzushi wako na kueneza chukii dhidi ya wasomali na Tanzania .
Hujui mgogoro wa Kenya na Somalia upo wapi na ulianza lini
Unachotengeneza ni chuki
Mm NI mtanzania mwenye asili ya somaliland ila sijawahi fika hata Arusha.But nasoma sana habari na horn of Africa sana.
Ndg huu mgogoro wa Kenya na Somalia sio wa Leo
Wewe NI mkenya bila shakaa .
Nadhani tuanze na huu mgogoro wa Leo .
2009 serikali nzima ya Somalia ilikua Kenya
Wakatii huo waziri mkuu alikua sharmarke huyyyu alikua mtoto wa aliekua raisi wa Somali aliepinduliwa na siad Barre.
Huyu jaamaa na raisi wa Somalia walisain makubaliano MOU na serikali ya Kenya kuhusu bahari.
Hill eneo mwaka 1977 kampuni ya kitaaliano ndo ilikua in fanya utafiti wa mafuta.
Hivyoo basi udhaifu wa serikali ya Somalia 2009 ndoo Kenya ikatumia mwanya na kutaka kurekebisha mipaka.kumbuka kuwa mipaka yote' iliwekwa na wakoloni na OAU iliiheshimu.
Swala la Kenya na Somalia NI Tata
Hivyoo ugomvii huu usitake kuuhamishia Tanzania.
Mm nitakuaa wakwanza kuilinda Tanzania
Achaa sisi amba tuna vizazi Saba
Hawa wanaopita wanaipenda Tanzania kulikoo hiio Kenya
Ndg Kama unatoa somo ondoaa chuki.
Nb angalia ramanii
View attachment 1031265
Sent using
Jamii Forums mobile app