Somaliland imeapa kuisaidia Kenya iwapo Vita Vitazuka baina ya Somalia na Kenya

kdf is basically in Jubaland to secure the offshore root and its other interests
Kenya’s plan to carve out a semi-autonomous region called Jubaland in Somalia had already been finalised as early as 2010.

The final process, which placed Kenya at loggerheads with the Somali government in Mogadishu, took place in January 2013 in Kismayu.
At least 522 delegates were brought in to rubberstamp decisions and formally install the President — former militia leader Sheikh Ahmed Madobe
As long as we have influence over Jubaland we cant loose the oil thats why we installed a puppet government in jubaland after the fall of kismayu.
Also read about RAS KAMBONI militia which has been working with the kenyan intelligence and military.

This happened earlier this January and can tell you the amount of influence we have over Jubaland
#AMISOM Sector II Commander Brig. Joakim Mwamburi met with @Jubaland president Ahmed Madobe in Afmadhow. President Madobe lauded the role of AMISOM troops in the fight against terrorism in #Jubaland, especially towards capacity building for the Somalia security forces.
DwfINRZX0AEvlF9.jpg

DwfITxWXQAA-388.jpg

DwfIYm_WoAIJILu.jpg

9:35 AM - 9 Jan 2019
 
Attachments

  • 1551036830091.png
    1551036830091.png
    469.6 KB · Views: 16
Israel si tanzania,si kila nchi inachukia kenya,buda we have allies n read history after independence tulifanyia israel favour so its all about history na hio history ndo inafanya kenya na Tz wasipatane
Una miaka mingapi?
Una elimu kiasi gan?
Wewe ni jinsia gan?

Ni taifa moja tu kutoka njee ya Africa ambalo linaweza kutoa msaada wa kijeshi bila kuwa na malengo ya kupata kitu nalo ni IRAN tu hao UK na USA wataangalia maslahi yao tu

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Mzee kwenye akilii Sina shakaa 100% wako vizuri ndoo maana wapo Kenya na wewe NI kibarua wao

Aden duale naye Hana akili
General Mahmoud alimuokoa arap moi akiwa tayari ana uharoo kwenye suruali naye mjinga

Amina Mohamed waziri wa elimu naye bogus

Hao walioshika 30@% ya uchumi wa Nairobi NI wajingaa

Wakenyaa NI wezi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna uchumi somalis wameshika na duale ia not somali same with amina hao si wasomali it seems you dont know who somalis are,research kwanza ndo uonge and hakuna uchumi yeyote somali wako nayo kenya uchumi ya kenya imeshikwa na kenyan black,kenyan indians,kenyan whites and few foreigners sana sana brits na americans
 
Kenyan government official Bruce McKenzie persuaded Kenyan President Jomo Kenyatta to allow Mossad agents to gather information prior to Operation Entebbe in 1976. Also, the Israeli Air Force was granted permission to use an airport in Nairobi.Ugandan President Idi Amin later ordered McKenzie's assassination.Mossad Chief Director Meir Amit had a forest planted in Israel in McKenzie’s name.

In 1979, Abdalla Mwidau, the representative of Mombasa-South in the Kenyan parliament, conducted an information campaign among Muslims in the USA, in which he praised Israel's assistance to developing African countries and specifically its assistance to Muslim education in Kenya. His political rivals, led by Sharif Kassir, denounced these activities, calling Mwidau a "Zionist agent"
Kipindi wanapanga hii operation sehemu yao ya kwanza kufikiria kuitumia ilikuwa ni Tanzania lkn wakaona kuna umbali so Kenya ikawa ni bora zaidi

Je unafikiri wangeomba kutumia aridhi ya tz nyerere angekataa aliyakuwa kipindi hicho zilikuwa haziivi na nduli

Tz ilikuwa haina ubarozi na Israel lkn kwenye ukanda huu ndio nchi yenye watu wengi waliopo Israel wanajifunza teknolojia ya kilimo

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
What do you mean by the words “on top of Kenya”? Do you mean ahead of Kenya in prosperity & development? Sorry, I have understood you, you translated literarily from Swahili to English!!! Tatizo la sisi Wa Bongo!
una sound dumb asf,what you talking bout' unakaa tu confused ,juu sikuelewi,just text in swahili pia kenya tunaongea swahili so ntaelewa,kuliko ku text staff yenye hata ww mwenyewe hujui what you texting
 
Una miaka mingapi?
Una elimu kiasi gan?
Wewe ni jinsia gan?

No taifa moja tu kutoka njee ya Africa ambalo linaweza kutoa msaada wa kijeshi bila kuwa na malengo ya kupata kitu nalo ni IRAN tu hao UK na USA wataangalia maslahi yao tu

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Hivyo ndo akili ya mtanzania hufikiria ndo maana mliwafukuza wahindi na wazungu kwenu?ooh nimesahau wazungu hawakukaa TZ walikaa kenya,kuna vitu huezi elewa,kila country yenye ilikuwa colony ya nchi fulani hio nchi husaidia hio country where it can,Britain walitu colonise penda usipende lazima wajali maslahi yetu,n this not the first time kuna time kitambo When somali was like best army in africa ilijaribu kutake over ethiopia I think russia ika help Ethiopia,ilikuwa pia inataka kuchukua kenya Jijazie who helped us with everything,jomo kenyatta alituma Charles njonjo Britain juu britain walikuwa wame sign agreement na kuapa kusaidia kenya if somali shud try n take over Kenya the north eastern part,Queen anapenda kenya upende usipende britain have history with kenya,n.ndio ni ukweli venye umesema UK na US lazima wasaidie penye wanafaidika ni nini zinaweza faidika Somalia?usisahau kenyan whites are more than 150,000 and most ni wa kutoka britain na sijahesabu wenye wameongezeka kutoka 2010 juu 2010 ndo dual citizenship ilianza mpaka sai so mbna UK isisaidie usisahau US ina biashara mingi sana kenya na nairobi ni hub ya Africa so mbna wasisaidie,Fact ni moja US na UK haiezi simama na Somali kupiga nchi ka kenya ,nchi yenye sifa na nchi ya kikiristo,unadhani Julius malema akisema kenya ni mtoto wa US na UK alikuwa mjinga ama alikuwa amelewa?hio ndo ukweli,
 
Kwahiyo hayo mapigano yatakuwa Two in One, mipaka na Dini?
 
Sawa umeshinda bhana

Ila sisi wa Tanzania hatuamini katika wazungu pia utu wetu ndio chanzo cha umaskini wetu

All in all now tupo na jiwe the man mwenye utu ziro maslahi mbele

Ila umenifurahisha ulivyodai usa UK Israel na JAPAN wapo pamoja na kenya hivi unajua sera za JAPAN kuhusu jeshi?

Aisee yani kama wakenya wote wapo kama hawa jamaa waangalie upya kukomboa kizazi kijacho
 
Somalis kila kitu wanafanya huwa about dini,you not kenyan so si expect uelewe,walimu wetu wenye wanafunza north eastern wao huumia sana juu wao huitwa kafiri na wanaonyeshwa madharau maybe wasalimike ndo wakubalike,shukuru mungu you not bordering Somali,most kenyans love their country but tushangaa sana mbna tuka border somalia,we have worst neighbours
 
Aisee yani kama wakenya wote wapo kama hawa jamaa waangalie upya kukomboa kizazi kijacho
Ni bogas hasa yaani anaamini usa na UK watampigania bure aliyakuwa usa ni bepari na Ana sera yake ipo wazi kabisa kuwa "usa first" "hatuna rafiki wala adui wa kudumu ila tuna maslahi ya kudumu"

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Sawa umeshinda bhana

Ila sisi wa Tanzania hatuamini katika wazungu pia utu wetu ndio chanzo cha umaskini wetu

All in all now tupo na jiwe the man mwenye utu ziro maslahi mbele

Ila umenifurahisha ulivyodai usa UK Israel na JAPAN wapo pamoja na kenya hivi unajua sera za JAPAN kuhusu jeshi?

Sent using my iPhone using jamiiforum app
thnx kwa kusema nyinyi watanzania amuamini,juu hao ni nyinyi si tuligrow na misingi tofauti before independence and after and hapo ndo shida hutokea so msitu judge na kusema runapenda wazungu sana ana zile vitu zenye nyi husema ati si huwalamba wazungu wetu matako hata kama sijatoka mombasa ama westlands,Karen,nanyuki etc kwenye wazungu ni wengi mi nawaona wazungu ka better brothers compared na the socalled kenyan somalis,hakuna mkenya ana shida na kenyan whites,kenyan indians ama kenyan arabs juu hao hu mind their own business,shida huingia hapa kwa somalis
 
Aisee yani kama wakenya wote wapo kama hawa jamaa waangalie upya kukomboa kizazi kijacho
ndo maana wewe ni mtanzania na mi ni mkenya si wote waafrika lakini tuna tofauti mingi sana kwanza kwa reasoning juu muliambiwa na nyerere wazungu adui na hamkupigana nao si tulipigana nao na tukawaona marafiki ndo maana mpaka sai bdo wapo wengi kenya,so siwezi kulaumu,endeleeni kuona kila mtu mwenye rangi nyeupe ka adui mtaumia,naona pia SA inaelekea hapo na wakafanya makosa julius malema awe president awafukuze wazungu SA itasahaulika ivyo,hio ndo ukweli angali nchi zote zime develope africa ukitoa Nigeria za SADC na kenya zote zina natives whites so jiulize swali mbona na ujijibu,White pple are not enemies inategema tu na your mentality
 
Ni bogas hasa yaani anaamini usa na UK watampigania bure aliyakuwa usa ni bepari na Ana sera yake ipo wazi kabisa kuwa "usa first" "hatuna rafiki wala adui wa kudumu ila tuna maslahi ya kudumu"

Sent using my iPhone using jamiiforum app
We mjinga US inaeza faidika nini Somalia,usisahau wana business mingi sana nairobi hao americans na as for Uk kuna kenyan whites wengi sana kutoka UK,wazungu si wajinga na wazungu si wasaliti wakisema kitu huwa wamesema,Buda fyi Kenya ni country kubwa sana duniani,Somali ni nini sasa?hata bila UK tunawanyosha
 
ndo maana wewe ni mtanzania na mi ni mkenya si wote waafrika lakini tuna tofauti mingi sana kwanza kwa reasoning juu muliambiwa na nyerere wazungu adui na hamkupigana nao si tulipigana nao na tukawaona marafiki ndo maana mpaka sai bdo wapo wengi kenya,so siwezi kulaumu,endeleeni kuona kila mtu mwenye rangi nyeupe ka adui mtaumia,naona pia SA inaelekea hapo na wakafanya makosa julius malema awe president awafukuze wazungu SA itasahaulika ivyo,hio ndo ukweli angali nchi zote zime develope africa ukitoa Nigeria za SADC na kenya zote zina natives whites so jiulize swali mbona na ujijibu,White pple are not enemies inategema tu na your mentality
Kaka mimi ni African, Mtanzania with 3 other origin.
Africa we are all equal same to the world, we as Africans we need unity and coorperation highly than how we are currently.
The problem is, at the time Tanzanians battle one on one with colonies and apertheid no one cared. Imagine Africa consist 64 independent nations but more than 50 it was Tanzanians job, the whole SADC got Independence due to firm and niche Tanzanians souls, well heartens and sympathy for others also the whole SADC consist Tanzanians bloodhood brothers and sisters. Regardless the true meaning of unity showed by Tanzanians, then. NO One stands with Tanzanians currently.

That's why we choose our way.
 
Thank God you didnt help us juu mungekuwa munajisifu sana,the only country that helped us was ethiopia n i got respect and love for them,but hao wote wenye mliwapigania uhuru kusema tu ukweli kuna venye wao huwa dharau and 50 states ni mingi but usiseme zote zilikuwa under apartheid coz apartheid ilikuwa SA pekee n the only country yenye ilienda close na kitu ka apartheid africa ni kenya actually twaeza iita apartheid juu kila kitu kulikuwa na ya mzungu,mhindi alafu yetu wakenya weusi mbaya,naturally wazungu walikuwa wameamua kukaa kenya kabisa na kumake this country theirs,of which nashangaa mi huskia mkijisifu venye mulipigania countries mingi independence mbona hamkutusaidia?ndo maana si wakenya husema kenya ni nchi poa lakini wenye wametuzunguka kuanzia somali ,tz wote ni wa wivu tu hata afadhali ethiopia sasa mbna tusiwaamini wazungu n our neighbours wote wanashida na sisi
 
Raisi wa jamhuri ya watu wa Somalilland ambae pia ni Amiri jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Nchi hiyo yenye Amani na Utulivu.
Rais Musse Biihi Abdi
Ameapa kulisaidia taifa la Kenya iwapo litavamiwa na Majeshi ya nchi ya Somalia alisema "tutawasaidia Ndugu zetu Wakenya kwa mbinu na tutalituma jeshi letu kupambana bega kwa bega na Majeshi ya Kenya".

Raisi Mussa Biihi Abdi alisema Taifa la Somalia huwa halielewi lugha nyingine mpaka nguvu itumike ndio huwa wanaelewa .

Pia amemuondoa hofu Raisi Uhuru Kenyatta kuwa uhusiano kati ya nchi hizo mbili hautayumbishwa.
Wasomali wanasema tu hayo wamebambikiwa tu kuyasema hayo.
 
Back
Top Bottom