Somaliland imeapa kuisaidia Kenya iwapo Vita Vitazuka baina ya Somalia na Kenya

Somaliland imeapa kuisaidia Kenya iwapo Vita Vitazuka baina ya Somalia na Kenya

Thank God you didnt help us juu mungekuwa munajisifu sana,the only country that helped us was ethiopia n i got respect and love for them,but hao wote wenye mliwapigania uhuru kusema tu ukweli kuna venye wao huwa dharau and 50 states ni mingi but usiseme zote zilikuwa under apartheid coz apartheid ilikuwa SA pekee n the only country yenye ilienda close na kitu ka apartheid africa ni kenya actually twaeza iita apartheid juu kila kitu kulikuwa na ya mzungu,mhindi alafu yetu wakenya weusi mbaya,naturally wazungu walikuwa wameamua kukaa kenya kabisa na kumake this country theirs,of which nashangaa mi huskia mkijisifu venye mulipigania countries mingi independence mbona hamkutusaidia?ndo maana si wakenya husema kenya ni nchi poa lakini wenye wametuzunguka kuanzia somali ,tz wote ni wa wivu tu hata afadhali ethiopia sasa mbna tusiwaamini wazungu n our neighbours wote wanashida na sisi
Aiseee 😀 kazi kweli kweli.
 
Unguja na Pemba (Zanzibar) hawataki muungano wanataka wawerecognised kama independent country.

Mtwara anavuguvugu la kijitoa Tanzania anzishe taifa lake maana anaona rasilimali iliyopo kwake haimnufaishi inaenda kunufaisha jirani.

Kagera yeye anasema ametengwa yaani kama vile hawamtambui ilhali yeye ndiye yupo katikati ya East&Central Africa, wanadai serikali ilitakiwa kupafanya eneo la kitega uchumi.
Ok nimekupata mkuu, ila nikivuta picha ya kagera ambao jiran zao ni kigoma na wale wa mtwara kule newala, na nifike nachingwea ya lindi, sija pasahau geita, mara na mwadui shinyanga naona kuna viasili vya watu kutokutafakari au ubinafsi wa kukurupuka kwa wenye hoja hizo,

Ipo haja kufanya maeneo mengi stahiki kuwa ya kimkakati na vitega uchumi mfano kagera na kigoma, na pengi pengine kwa hoja hiyo ya kagera hata Songwe ya sasa ama mbeya ya zamani kwa ujumla wataibua hoja hizo hizo😀😀

Mtwara licha ya mafuta zipo rasilimali nying tu lakin hawana tofauti na Mara,Shinyanga, Songea kwenye Uranium na kwengineko, wasisahau hata Ziwa Victoria linaweza toa mzigo wa kustaajabisha😀😀

Unguja na pemba, kwa kweli mipaka ile ya wakoloni,(somalia na somaliland) kazi zile za mashambani na ukianzia Bagamoyo na Tanga , Hekima za wakaazi wake wa mwanzo, tamaduni za kimwambao, wengine kutamani kuwa na tabaka, tuna asili ya wapi hakika mtu hatotamani hata serikali mbili😀😀

Ipo haja ya dhati kabisa rasilimali na fursa zikanufaisha kule zitokako kwa namna mbalimbali kwa mipango mizuri, na kustawisha jamii na Taifa husika kwa ujumla, ila sio kuwa chanzo cha kuzipata kwa gharama ya watu wasio na hatia kupoteza maisha (Niger Delta, na kwingine)

Tchao, Muuza Nyanya
 
Kiboko ya Somalia vichwa ngumu ni Somaliland waliivamua Somaliland mwaka jana wakauwawa na vifaru na wakavikimbia na maiti zao wakazikimbia
IMG_28133C-2047A4-78D62F-A40500-68902C-A07C26.png
downloadfile-14.jpg
 
Raisi wa jamhuri ya watu wa Somalilland ambae pia ni Amiri jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Nchi hiyo yenye Amani na Utulivu.
Rais Musse Biihi Abdi
Ameapa kulisaidia taifa la Kenya iwapo litavamiwa na Majeshi ya nchi ya Somalia alisema "tutawasaidia Ndugu zetu Wakenya kwa mbinu na tutalituma jeshi letu kupambana bega kwa bega na Majeshi ya Kenya".

Raisi Mussa Biihi Abdi alisema Taifa la Somalia huwa halielewi lugha nyingine mpaka nguvu itumike ndio huwa wanaelewa .

Pia amemuondoa hofu Raisi Uhuru Kenyatta kuwa uhusiano kati ya nchi hizo mbili hautayumbishwa.
Hey somali keep it in your mind,let me update u,kenya is the 6th powerful in africa interms of military power,1st in technology,leading in the whole world in hosting refugees,and somali is the horn of africa not horns of africa,get it deep in your ears that and u know in just a blink of an eye we will have finished u so we are just keeping u around and soothing us like babies just wait and see ,dont take our silence for granted,even that MPESA u are using its was discovered here in kenya invented and created here ,that shows u,how we can act and be smart .we can be very hospitable, sympathetic,but we we get enough of you we can rush tsunami kando.
 
Kiboko ya Somalia vichwa ngumu ni Somaliland waliivamua Somaliland mwaka jana wakauwawa na vifaru na wakavikimbia na maiti zao wakazikimbia
View attachment 1031562View attachment 1031563
What does tanzania..? have u ever contributed in any UN or Au,AMISON mission..?,nkt even am speaking english for nothing,and u are a fool,how can u post such a photo how heartless are u,iliterate ,imbicile, actually i was shicked some tanzanians were rejoicing during the last terror attack at dusit ,how shameless are u..?kenyans we have so many soldiers in supply and highly trained even if we loose we celebrate them as our heros who still live with us,we are waiting when it knock at your door how u will handle it,saving more tha 800pple and. 14we lost it was a win for us,imbicile use brains to reason,ushawai skia au ona hata grenade..?funga kinyua chako ,ongea sense.
 
Huu mpambano utakuwa ni wa majeshi mawili ya hovyo zaidi africa aise

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
52952665_2448736468529857_2853691818967564288_n.jpg

Wakuu wa Majeshi ya Somaliland na Ethiopia wakibalilishana Zawadi huko Addis Ababa
 
52835803_2448725601864277_7197197047185801216_n.jpg

Wakuu wa majeshi ya Somaliland na mwenzake wa Ethiopia
 
Ngoja Kenya nao waisome kidogo ingawa ni ndugu zetu kipindi kile cha idd Amin walitutelekeza tukaenda vitani bila kupata support Yao

Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi ni ndugu zenu wa damu kabisa ,tulifunga mipaka tena tukamzuia Idi Amin kuingiza zana vita ambavyo vingeingia Tanzania ingekua na kibarua kigumu sana tulimnyima hata mafuta ikawa vigumu kwake kutumia vifaru na ndege za kivita,huo sio usaidizi jameni? Brotherly love.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi ni ndugu zenu wa damu kabisa ,tulifunga mipaka tena tukamzuia Idi Amin kuingiza zana vita ambavyo vingeingia Tanzania ingekua na kibarua kigumu sana tulimnyima hata mafuta ikawa vigumu kwake kutumia vifaru na ndege za kivita,huo sio usaidizi jameni? Brotherly love.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya wangekuwa na Roho mbaya wangemsaidia IDDI AMINI kufungua Second front tungechapwa mpaka Dodoma kabla Southern Brothers hawajafika ola pia wao kama Frelimo walikuwa wamechoshwa na Bushwars.
 
Shida yenu mnakuwanga delusional sana na waoga hio ndo reality wakishinda hii case watasema pia pemba ni yao n trust mi,venye nyi hukuwa ati hamtaki uhusiano na nchi ingine kwanza za wazungu ndo mtajua mko pekee yenu na ******** wenu,usisahau we fought for independence so we can fight again amd win,and hio time we were fighting na wazungu wenye bunduki na si hatukua nayo,tunangoja Somali waletw ujinga tunawatumia Mau mau 1000 na Wamaasai 1000 na story inaisha na soon tunawatoa kenya,usione kenya imenyamza ukadhani si wajinga msee
Plus our turkana and pokoti boys kabla Sisi wengine twingie huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli Kenya ni ndugu zetu kabisa. Kwasababu tunashare mpaka mkubwa zaidi pia lugha moja. Nawaombea suala lenu la mpaka na Somalia liishe salama salmini
Sisi ni ndugu zenu wa damu kabisa ,tulifunga mipaka tena tukamzuia Idi Amin kuingiza zana vita ambavyo vingeingia Tanzania ingekua na kibarua kigumu sana tulimnyima hata mafuta ikawa vigumu kwake kutumia vifaru na ndege za kivita,huo sio usaidizi jameni? Brotherly love.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna Taifa lililokuwa benet na Israel kama Tanzania, Tanzania na Israel ndio ilianzisha vijiji vya ujamaa, hotel kubwa za kitalii Tanzania, wizara kadhaa, jeshi la JWTZ, usalama wa Taifa, hospitals etc

Yaani Israel ndio alikua the first Ally wa Tanzania lakini Nyerere alivyowageuzia kibao hawakuamini, sasa nashangaa nyie ni history ipi mnayo na Israel kuzidi watanzania, of course am not bragging on them lakini sioni chochote kati yenu na Israel zaidi ya upappet.
Israel inanzishaje vijiji vya ujamaa when it's not communist? Are you aware that kabla state of Israel iwe formed pale Kwa wapelestine walikua wamepewa present Kenya iwe nchi Yao? Anyway I won't go into details cause it's not of any importance here.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefuatiliaa hoja zako zote niliyo yaaona juuu yako NI

Kudanganya na uzushi wako na kueneza chukii dhidi ya wasomali na Tanzania .

Hujui mgogoro wa Kenya na Somalia upo wapi na ulianza lini

Unachotengeneza ni chuki

Mm NI mtanzania mwenye asili ya somaliland ila sijawahi fika hata Arusha.But nasoma sana habari na horn of Africa sana.

Ndg huu mgogoro wa Kenya na Somalia sio wa Leo

Wewe NI mkenya bila shakaa .


Nadhani tuanze na huu mgogoro wa Leo .

2009 serikali nzima ya Somalia ilikua Kenya
Wakatii huo waziri mkuu alikua sharmarke huyyyu alikua mtoto wa aliekua raisi wa Somali aliepinduliwa na siad Barre.

Huyu jaamaa na raisi wa Somalia walisain makubaliano MOU na serikali ya Kenya kuhusu bahari.

Hill eneo mwaka 1977 kampuni ya kitaaliano ndo ilikua in fanya utafiti wa mafuta.

Hivyoo basi udhaifu wa serikali ya Somalia 2009 ndoo Kenya ikatumia mwanya na kutaka kurekebisha mipaka.kumbuka kuwa mipaka yote' iliwekwa na wakoloni na OAU iliiheshimu.

Swala la Kenya na Somalia NI Tata

Hivyoo ugomvii huu usitake kuuhamishia Tanzania.

Mm nitakuaa wakwanza kuilinda Tanzania

Achaa sisi amba tuna vizazi Saba
Hawa wanaopita wanaipenda Tanzania kulikoo hiio Kenya

Ndg Kama unatoa somo ondoaa chuki.

Nb angalia ramanii View attachment 1031265

Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania haina kabila la wasomali, unaposema we ni wa asili ya Somaliland ina maana we ni mkimbizi basi usijiite mtanzania ,Heri ungesema we ni mkenya maana Kenya kuna kabila la wasomali na labda ungetambulika kama mkenya ,mpaka wa Kenya uliekwa na wakoloni mwaka wa sitini na mbili hili ambalo unalisema la 2009 lilikua tu ku reaffirm does boundaries.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee kwenye akilii Sina shakaa 100% wako vizuri ndoo maana wapo Kenya na wewe NI kibarua wao

Aden duale naye Hana akili
General Mahmoud alimuokoa arap moi akiwa tayari ana uharoo kwenye suruali naye mjinga

Amina Mohamed waziri wa elimu naye bogus

Hao walioshika 30@% ya uchumi wa Nairobi NI wajingaa

Wakenyaa NI wezi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wote umewataja ni wakenya wa kabila la kisomali, hence they are not Somalians.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom