Sasa Kamanda hizi habari za siri wewe umezijuaje MAPEMA hivi?Raisi wa Somalia anakusanya kundi kubwa la Vijana kutoka Djibouty na Ethiopia ambao ni makabila yaliyo karibu na Kabila lake lwa Usiri mkubwa.
Na ameshaongea na Raisi wa Djibouty kwa msaada wa kijeshi na inasemekana maongezi hayo yalifanywa huku milango ikiwa imefungwa.
Leo Asubuhi Jenerali wa majeshi ya Sudani aliwasili mjini Mogadishu kwa maongezi na Utawala huo wa Somalia.
Pia kuna habari zinazosambaa mitandaoni kuwa Askari wenye asili ya Kisomalia walio ndani ya Jeshi la Kenya wanapangwa ili kufanya hujuma na kutoa habari za siri za jeshi la Kenya
Kuna hatari vita hii ikachukua msimamo wa kidini pia ili Qatar na Turkey kusaidia kijeshi
Sisi kama Watanzania tusikubali kuona mwenzetu akinyolewa.
Maelezo yako mwanzo Mazur ila hapo mwisho ndio UmevurugaRaisi wa Somalia anakusanya kundi kubwa la Vijana kutoka Djibouty na Ethiopia ambao ni makabila yaliyo karibu na Kabila lake lwa Usiri mkubwa.
Na ameshaongea na Raisi wa Djibouty kwa msaada wa kijeshi na inasemekana maongezi hayo yalifanywa huku milango ikiwa imefungwa.
Leo Asubuhi Jenerali wa majeshi ya Sudani aliwasili mjini Mogadishu kwa maongezi na Utawala huo wa Somalia.
Pia kuna habari zinazosambaa mitandaoni kuwa Askari wenye asili ya Kisomalia walio ndani ya Jeshi la Kenya wanapangwa ili kufanya hujuma na kutoa habari za siri za jeshi la Kenya
Kuna hatari vita hii ikachukua msimamo wa kidini pia ili Qatar na Turkey kusaidia kijeshi
Sisi kama Watanzania tusikubali kuona mwenzetu akinyolewa.
Siad Barre aliipindua Serkali ya kiraia na akalivunja Bunge halafu akatangaza makubaliano yote yaliyifikiwa baina ya nchi hizo mbili ni Haramu wabunge wengi wa Somaliland walifia magerezani sababu wakiachiwa watahoji.Kilichowaudhi upande wa somaliland ni Barre (late) kuishambulia wakati ule
Wewe unaonaje kuachana au kuwa nchi moja ipi bora
Maana upande mwingine hawataki kuwasikia kabisa Mogadishu
Kwa kweli inasikitisha sana maisha yao yalivyoharibika
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Mkuu Tanzania kaa nayo mbali mambo ya siasa zetu za ndani ni mambo ya kawaidaSasa Kamanda hizi habari za siri wewe umezijuaje MAPEMA hivi?
Au Tanzania ni ya tatu kwa upelelezi kweli?
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Aisee huyu jamaa Barre alikuwa mkatili sana na ni sababu ya ujeda maana kama alikuwa sergeant miaka ya nyuma ni hatari.Siad Barre aliipindua Serkali ya kiraia na akalivunja Bunge halafu akatangaza makubaliano yote yaliyifikiwa baina ya nchi hizo mbili ni Haramu wabunge wengi wa Somaliland walifia magerezani sababu wakiachiwa watahoji.
Wabunge wa Somalia walikuwa wanasamehewa na kupewa ukubwa kwenye mashirika ya Umma
Akaanzisha Ujamaa na kujitegemea na miradi ya kufutilia mbali umiliki mali wa raia haswa Somaliland
Akaanza mradi wa kuwatoa watu kusini na kuwahamishia Kaskazini Somaliland
Wakati huo wananchi wa Somaliland wengi wakaanza Kuikimbia Nchi yao
Siad Barre akaanzisha harakati za kuwakomboa watu wote wanaoongea Kisomali
Akaanzisha Shifta Movement ili kuivamia Kenya
Wakati huo huo Barre akawaalika Warrusi ili waje kufundisha Ukomunisti,Warussi kwa furaha kubwa wakaenda Mogadishu na kumwaga Silaha za kila aina kasoro nyukilia
Askari wa Barre wakapewa Mafunzo ya Mapigano ya nchi kavu na Anga
Barre akasema Tuvamie Ethiopia kwanza halafu kenya baadae 1977 Majeshi ya Barre yakaingia Ethiopia alichukua vijana wengi kutoka Somaliland na kuwatanguliza mbele.
Barre alikuwa anacheza gemu ya mauaji ya "Kimbari"kiaina wakatu huo Jeshi la Ethiopia lilikuwa linapambana na vikundi vya waasi wanaotaka kujitenga ili kuikomboa ERITREA ambayo ilikuwa Chini ya Ethiopia.
Majeshi ya Somalia yalikutana na Upinzani mdogo yakawa yanatwaa mji hadi mji
Raisi wa Ethiopia wa wakati huo Mangistu Haile Mariam akaenda Urusi kuomba msaada
Urussi ikamwambia Barre aindoe majeshi yake ndani ya Ethiopia Barre akakaataa katakata kama tunavyojua tabia ya hawa wasomali wa kusini.
Urussi ikaongea na Cuba ya Fidel Castro na Cuba ikatuma askari 15000 na silaha nzito
Barre akafukuza aAskari na raia wote wa Kirusi kutoka Somalia.
Urussi nayo ikatuma Makomando 3000 kuisaidia Ethiopia
Barre akala kichapo cha Haja hapohapo Wale askari wa Somaliland wakapata fursa wakaongea na Mangistu Haile Mariam na wakajiandaa jeshi la Somalia likarudishwa hadi Mpakani
Askari wenye Asili ya Somaliland wakajipanga na kuanzisha mapambano ya kuwatoa askari wa Mogadishu
Siad Barre akapata fursa ya kuwamaliza Raia wa Somaliland takeiban watu Laki tano waliuwawa
1988 askari wa Siad Barre wakawa wameshindwa na kujisalimisha Mkuu wa majeshi ya Somaliland akaongea na mtu ambaye alikuwa anaogopewa na Siad Barre huyo jamaa alikuwa anaitwa General Mohamed Farah Aidid wakati huo Barre alimfanya Balozi nchini India.
Gen Farah Aidid akawachukua wale askari waliojisalimisha na kushuka nao Mogadishu
Somaliland ikatangazia ulimwengu kuwa imejitoa kwenye Project ambayo iliwaletea Vifo ubakwaji na kila aina mateso.
Vita vimekuwa vikiendelea huko Somalia hadi wa leo.
Huyu alikuwa ameoa mtoto wa Barre huyu jamaa ni mkabila sana na mpaka leo badala ya kushtakiwa amefanywa kuwa mshauri wa mambo ya kijeshi wa Somalia na baso huwa anajisifu kuwa yeye ndie kiboko ya Somaliland.Morgan huyu jamaa alikuwa katili sana
Naunga mkono hoja yako, kwa asilimia mia. Huu uzi una kauvundo ka danganya toto. No source, no sense. Hiyo ndio inafaa iwe motto ya jukwaa hili. [emoji1] Somebody halla at that guy, Maxence something, tell him I got other great ideas! (Btw, who names their child Maxence, who does that? [emoji15]) NOT 😎Sasa Kamanda hizi habari za siri wewe umezijuaje MAPEMA hivi?
Au Tanzania ni ya tatu kwa upelelezi kweli?
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Aisee yaani bado yuko hai huyu muuwaji?Huyu alikuwa ameoa mtoto wa Barre huyu jamaa ni mkabila sana na mpaka leo badala ya kushtakiwa amefanywa kuwa mshauri wa mambo ya kijeshi wa Somalia na baso huwa anajisifu kuwa yeye ndie kiboko ya Somaliland.
Don't get it twisted! Ingizeni pua muone kama hamjawekwa mtu kati!Hawa hawa Somaliland ambao wapo kwenye mgogoro na Puntland kwasababu ya mpaka? Wana uadui mkali sana na Somalia pia. Hivi karibuni kutaibuka vita vya aina yake kati ya Somaliland na Puntland na nadhani wao ndio wanataka tuwasaidie kumnyoosha adui yao Somalia. Puntland ni eneo ambalo linajitawala pia, ila lipo ndani ya Somalia tofauti na Somaliland ambayo ni nchi kivyake.
Umesimulia hiyo historia kweli kweli.Siad Barre aliipindua Serkali ya kiraia na akalivunja Bunge halafu akatangaza makubaliano yote yaliyifikiwa baina ya nchi hizo mbili ni Haramu wabunge wengi wa Somaliland walifia magerezani sababu wakiachiwa watahoji.
Wabunge wa Somalia walikuwa wanasamehewa na kupewa ukubwa kwenye mashirika ya Umma
Akaanzisha Ujamaa na kujitegemea na miradi ya kufutilia mbali umiliki mali wa raia haswa Somaliland
Akaanza mradi wa kuwatoa watu kusini na kuwahamishia Kaskazini Somaliland
Wakati huo wananchi wa Somaliland wengi wakaanza Kuikimbia Nchi yao
Siad Barre akaanzisha harakati za kuwakomboa watu wote wanaoongea Kisomali
Akaanzisha Shifta Movement ili kuivamia Kenya
Wakati huo huo Barre akawaalika Warrusi ili waje kufundisha Ukomunisti,Warussi kwa furaha kubwa wakaenda Mogadishu na kumwaga Silaha za kila aina kasoro nyukilia
Askari wa Barre wakapewa Mafunzo ya Mapigano ya nchi kavu na Anga
Barre akasema Tuvamie Ethiopia kwanza halafu kenya baadae 1977 Majeshi ya Barre yakaingia Ethiopia alichukua vijana wengi kutoka Somaliland na kuwatanguliza mbele.
Barre alikuwa anacheza gemu ya mauaji ya "Kimbari"kiaina wakatu huo Jeshi la Ethiopia lilikuwa linapambana na vikundi vya waasi wanaotaka kujitenga ili kuikomboa ERITREA ambayo ilikuwa Chini ya Ethiopia.
Majeshi ya Somalia yalikutana na Upinzani mdogo yakawa yanatwaa mji hadi mji
Raisi wa Ethiopia wa wakati huo Mangistu Haile Mariam akaenda Urusi kuomba msaada
Urussi ikamwambia Barre aindoe majeshi yake ndani ya Ethiopia Barre akakaataa katakata kama tunavyojua tabia ya hawa wasomali wa kusini.
Urussi ikaongea na Cuba ya Fidel Castro na Cuba ikatuma askari 15000 na silaha nzito
Barre akafukuza aAskari na raia wote wa Kirusi kutoka Somalia.
Urussi nayo ikatuma Makomando 3000 kuisaidia Ethiopia
Barre akala kichapo cha Haja hapohapo Wale askari wa Somaliland wakapata fursa wakaongea na Mangistu Haile Mariam na wakajiandaa jeshi la Somalia likarudishwa hadi Mpakani
Askari wenye Asili ya Somaliland wakajipanga na kuanzisha mapambano ya kuwatoa askari wa Mogadishu
Siad Barre akapata fursa ya kuwamaliza Raia wa Somaliland takeiban watu Laki tano waliuwawa
1988 askari wa Siad Barre wakawa wameshindwa na kujisalimisha Mkuu wa majeshi ya Somaliland akaongea na mtu ambaye alikuwa anaogopewa na Siad Barre huyo jamaa alikuwa anaitwa General Mohamed Farah Aidid wakati huo Barre alimfanya Balozi nchini India.
Gen Farah Aidid akawachukua wale askari waliojisalimisha na kushuka nao Mogadishu
Somaliland ikatangazia ulimwengu kuwa imejitoa kwenye Project ambayo iliwaletea Vifo ubakwaji na kila aina mateso.
Vita vimekuwa vikiendelea huko Somalia hadi wa leo.
Mkikuyu- Akili timamu Geza Ulole joto la jiwe
Je WaBongo wakiongozwa na uncle Magufuli watatuunga mkono tukivamiwa na hawa Wasomali ?? 😀😀
Aaaah! Wapi bana, hawa jamaa ni wabishi kupindukia, hadi kwenye vita utaskia wakisema eti wanabana matumizi. Hadi wataibuka na kauli matata za kupamba misimamo yao ya ajabu ajabu, utaskia, ukiishiwa na risasi pita na shingo.Mkikuyu- Akili timamu Geza Ulole joto la jiwe
Je WaBongo wakiongozwa na uncle Magufuli watatuunga mkono tukivamiwa na hawa Wasomali ?? 😀😀
Somaliland ni nchi nyingine... hiyo nchi ina amani ile mbaya. Dolla zinabadilishwa huku zimepangwa barabarani... biashara masaa 24. Rate ya ujambazi ni 0%... niliwahi kwenda huko aisee mpaka rahaSijaelewa hapa. Yaani rais wa Somalia ataisaidia Kenya kupigana na Somalia?? Ama ndo ukilaza wangu?
Sent using Jamii Forums mobile app