ndo nashanga mbona anapoteza huyo msee,rais wa somali anaishi somali,wa somaliland ndo tunaskizana na yeye
Nafikiri ilikuwa zamani sana na sio wa sasa kwani Farmajo ndio Rais wa Somalia
Kuna maongezi ya june Mwaka huu watu wanaenda kwenye ReferendumUwepo wa Somaliland sijakataa lakini si nchi inayotambulika na Umoja wa Mataifa kama ilivyo Western Sahara, Zanzibar, Biafra, Luanda, Macau, Hong Kong, Gibraltar na Catalonia.
Hawana jeuri ya kuishinda Kenya bt kama kweli mtatwangana Kenya itakiona cha mtema kuni japo mtashinda ila kwa mbinde aisehaiya pole ku kwambia hii ni ukweli,mnasemanga kenya but hawa watu ni wabaya hata kutuliko watafika pemba,jua hata msipo support kenya ,somali wakishinda hio case watakuja mpaka kwenu pemba
Nafikiri ilikuwa zamani sana na sio wa sasa kwani Farmajo ndio Rais wa Somalia
Na Muse Bihi ni wa Somaliland
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Somaliland kidogo unaweza kuifananisha western Sahara ila western sahara ilivamiwa kijeshi na moroco ila somaliland iliingia makubaliano baadae junta akawageuzia kibao,,, baada ya kupewa uhuru wao na Muingereza nchi ya kwanza kuitambua Somaliland ilikuwa ni Israel.Uwepo wa Somaliland sijakataa lakini si nchi inayotambulika na Umoja wa Mataifa kama ilivyo Western Sahara, Zanzibar, Biafra, Luanda, Macau, Hong Kong, Gibraltar na Catalonia.
Ahsante Sana kwa ufafanuzi Mr tansomaSomaliland ilikuaa koloni la waingereza na ilijipatiaa uhuru wake 26 June 1960
Somali ilikua koloni la Italy na ilipata uhuru wake 1 julay 1960
Mwezi huo hio julay 1960 nchi hizi ziliungana na kuunda serikali moja imaitwa democratic republic of Somalia.
Rais wa Kwanzaa aliitwa Aden Ade na huyo ndoo raisi wa Kwanzaa Africa kuondoshwa kwa uchaguzi wa Kwanzaa na wa mwisho Somalia wa kidemocrasii Alie shikaa Madara NI sharmarke
Siad Barre alipinduaa nchi 1969
Side Barre mwenye ndoto kubwa aliiijenga nchi mpaka mwaka 1977
Hapaa aliianza ukorofi
Vita na Kenya
Vita ya ethiopia
Kuua wasomi toka kaskazini itambue kuwa somaliland ilikua wasomi wengii kwani England ilitwala na iltoaa elimu kubwa tofauti na wataliano
Waingereza walitoa wa somalilanders wengi kuja Kenya na tanganyika Malawi na zambia Kama wataalamu
75% wasomali unawaona mikoanii ambao kwa Sasa NI watanzania pamoja na Mimi NI kutoka somaliland
Tujee kwenye mada
198i wasomaliland walioko uhamishoni uingereza walitengeneza vuguvugu la ukombozi wa nchi yao vuguvugu Hilo lilitwa SNM Somali. Nation movement
Hii kazi ilianza rasm 1988 na walipigana kumuondoa siad bare 1991.
Wao wilikomboa eneo lao lililopakana na Somalia.
Hawa walisimikaa raisi na uchaguzi wa kidemocrasii ulifanyika
Mpaka Leo somaliland inafanya chaguzi zake kidemocrasii kuaanziaaa serikali A mitaa na serikali kuu
Somaliland NI katilii ya nchi zinazoitwa De facto country..
Itaaendeleaaa.......
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli Ana dual citizenship ila haishi Nairobi mkuu mnyonge mnyongeni Haki yake mpeniSasa Raisi ana Passport ya Minesota saa na ana Estate Nairobi akisikia mlipuko si anakimbia na kuwaacha pèke yenu
OkeSomaliland kidogo unaweza kuifananisha western Sahara ila western sahara ilivamiwa kijeshi na moroco ila somaliland iliingia makubaliano baadae junta akawageuzia kibao,,, baada ya kupewa uhuru wao na Muingereza nchi ya kwanza kuitambua Somaliland ilikuwa ni Israel.
View attachment 1030589View attachment 1030590
Mauwaji ya Kimbari yaliyofanywa na Siad Barre View attachment 1030589View attachment 1030590
Pasi gani ya kusafiria hutumika kwa SomalilandMipaka ya somaliland NI ile iliowekwa na wakoloni na kubarikiwa OAU. Kaskazini inapaka na Djibouti magharibi Ethiopia na kusini na masshariki Somalia
Somaliland inatofautiana na Haina mahusiano yoyote ya kisiasa wa kiuchumi na Somalia.
De facto somaliland. Imefanya mengi makubwa kuijengaa nchi yao from zero kwani serikali ya Somalia ili tupia mabomu karibu nchi nzima
Walifanya hivyoo wapo mfano general Morgan yupo Kenya kanali Abdul Tukeyna wengine
Uhasama uliopo somaliland na Somalia NI mkubwa sana .Hii ni kwanii??
Ili somaliland itambuliwe kimataifa itahitajika kura ya maoni na utashi wa pande mbili lakini kwa Somalia hawataki kusikia Jambo Hilo
Hivyoo SOMALILAND imeeapa itakaa hivyoo Kama defacto wengine
Sent using Jamii Forums mobile app
UTAKUWA UVCCMSijaelewa hapa. Yaani rais wa Somalia ataisaidia Kenya kupigana na Somalia?? Ama ndo ukilaza wangu?
Sent using Jamii Forums mobile app
hawawezi tupiga ni ngumu sana,wanajeshi wetu wana training kutika mbali mbali kama ,Israel,marekani etc,kenya tuko sawaHawana jeuri ya kuishinda Kenya bt kama kweli mtatwangana Kenya itakiona cha mtema kuni japo mtashinda ila kwa mbinde aise
Sent using my iPhone using jamiiforum app
hawawezi tupiga ni ngumu sana,wanajeshi wetu wana training kutika mbali mbali kama ,Israel,marekani etc,kenya tuko sawa
hakuna nchi Africa inaeza jitegemea hio ni fact,so ina depend unategemea nani,n history is clear UK wali tu colonise so bdo tuna culture yao n pia usisahau most of kenyan whites ni wa kutoka UK na kidogo kutoka Italy,na US ni diffrent story toka independence tumekuwa tu nao tukijaribu kuwa ape,si ni kaa watoto wao in other wordsKenya mna visa vya kijeshi tu lkn mbinu na hari ya upambanaji iko chini saana
Kingine ambacho huwa mnakosea ni kuwategemea USA na UK hao wataangaria biashara zao tu
Sent using my iPhone using jamiiforum app
"AFRICA hatupendwi na wazungu" kikubwa naposema wataangaria maslai yao ni kuwa wataangaria kati yenu mnaopigana nani katoa ofa nzuri kwao basi that why nasema kuwategemea hao ni upuuzihakuna nchi Africa inaeza jitegemea hio ni fact,so ina depend unategemea nani,n history is clear UK wali tu colonise so bdo tuna culture yao n pia usisahau most of kenyan whites ni wa kutoka UK na kidogo kutoka Italy,na US ni diffrent story toka independence tumekuwa tu nao tukijaribu kuwa ape,si ni kaa watoto wao in other words
Hahaha this case is diffrent usisahau somali is a muslim nation,n muslim wanachukiwa US na Uk hata ni karibu kila mahali to be specific muslim wasomali,so hakuna siku hata moja US itawai shikana na Somali,kwanza huko US wanachukiwa sana na si huko pekee pia huku hatuwapendi hata kidogo juu wametuletea shida mingi sana,usisahau kenya is a christian nation na pia chini ya maji si huwa na support ya Israel ka ujui so ni hard na hata waharabu wanabebanga tu wasomali ujinga juu ya dini yao hufanya wa arabu wakae miungu na somali ka kuna nchi wanaabudu ni U.A.E lakini wanabebwa ujinga"AFRICA hatupendwi na wazungu" kikubwa naposema wataangaria maslai yao ni kuwa wataangaria kati yenu mnaopigana nani katoa ofa nzuri kwao basi that why nasema kuwategemea hao ni upuuzi
Sent using my iPhone using jamiiforum app