Somaliland imeapa kuisaidia Kenya iwapo Vita Vitazuka baina ya Somalia na Kenya

Uwepo wa Somaliland sijakataa lakini si nchi inayotambulika na Umoja wa Mataifa kama ilivyo Western Sahara, Zanzibar, Biafra, Luanda, Macau, Hong Kong, Gibraltar na Catalonia.
Kuna maongezi ya june Mwaka huu watu wanaenda kwenye Referendum
Anyway Somaliland haikuomba teritorial integrity yake imechukua kwa mtutu wa bunduki
uk_defense1.jpg
8-10.jpg

Waziri wa Ulinzi wa Uingereza akiwa na Raisi wa Somaliland umeiona Salute hiyo.
 
haiya pole ku kwambia hii ni ukweli,mnasemanga kenya but hawa watu ni wabaya hata kutuliko watafika pemba,jua hata msipo support kenya ,somali wakishinda hio case watakuja mpaka kwenu pemba
Hawana jeuri ya kuishinda Kenya bt kama kweli mtatwangana Kenya itakiona cha mtema kuni japo mtashinda ila kwa mbinde aise

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Somaliland ilikuaa koloni la waingereza na ilijipatiaa uhuru wake 26 June 1960

Somali ilikua koloni la Italy na ilipata uhuru wake 1 julay 1960

Mwezi huo hio julay 1960 nchi hizi ziliungana na kuunda serikali moja imaitwa democratic republic of Somalia.

Rais wa Kwanzaa aliitwa Aden Ade na huyo ndoo raisi wa Kwanzaa Africa kuondoshwa kwa uchaguzi wa Kwanzaa na wa mwisho Somalia wa kidemocrasii Alie shikaa Madara NI sharmarke

Siad Barre alipinduaa nchi 1969

Side Barre mwenye ndoto kubwa aliiijenga nchi mpaka mwaka 1977

Hapaa aliianza ukorofi

Vita na Kenya
Vita ya ethiopia

Kuua wasomi toka kaskazini itambue kuwa somaliland ilikua wasomi wengii kwani England ilitwala na iltoaa elimu kubwa tofauti na wataliano

Waingereza walitoa wa somalilanders wengi kuja Kenya na tanganyika Malawi na zambia Kama wataalamu

75% wasomali unawaona mikoanii ambao kwa Sasa NI watanzania pamoja na Mimi NI kutoka somaliland

Tujee kwenye mada

198i wasomaliland walioko uhamishoni uingereza walitengeneza vuguvugu la ukombozi wa nchi yao vuguvugu Hilo lilitwa SNM Somali. Nation movement

Hii kazi ilianza rasm 1988 na walipigana kumuondoa siad bare 1991.
Wao wilikomboa eneo lao lililopakana na Somalia.

Hawa walisimikaa raisi na uchaguzi wa kidemocrasii ulifanyika

Mpaka Leo somaliland inafanya chaguzi zake kidemocrasii kuaanziaaa serikali A mitaa na serikali kuu

Somaliland NI katilii ya nchi zinazoitwa De facto country..

Itaaendeleaaa.......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafikiri ilikuwa zamani sana na sio wa sasa kwani Farmajo ndio Rais wa Somalia
Na Muse Bihi ni wa Somaliland

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Uwepo wa Somaliland sijakataa lakini si nchi inayotambulika na Umoja wa Mataifa kama ilivyo Western Sahara, Zanzibar, Biafra, Luanda, Macau, Hong Kong, Gibraltar na Catalonia.
Somaliland kidogo unaweza kuifananisha western Sahara ila western sahara ilivamiwa kijeshi na moroco ila somaliland iliingia makubaliano baadae junta akawageuzia kibao,,, baada ya kupewa uhuru wao na Muingereza nchi ya kwanza kuitambua Somaliland ilikuwa ni Israel.
52227427-in-1936-just-at-the-beginning-of-the-spanish-civil-war-dozens-of-non-fascist-citizens...jpg
440px-Spanish_Civil_War_-_Mass_grave_-_Estépar,_Burgos.jpg

Mauwaji ya Kimbari yaliyofanywa na Siad Barre
52227427-in-1936-just-at-the-beginning-of-the-spanish-civil-war-dozens-of-non-fascist-citizens...jpg
440px-Spanish_Civil_War_-_Mass_grave_-_Estépar,_Burgos.jpg
 
Somaliland ilikuaa koloni la waingereza na ilijipatiaa uhuru wake 26 June 1960

Somali ilikua koloni la Italy na ilipata uhuru wake 1 julay 1960

Mwezi huo hio julay 1960 nchi hizi ziliungana na kuunda serikali moja imaitwa democratic republic of Somalia.

Rais wa Kwanzaa aliitwa Aden Ade na huyo ndoo raisi wa Kwanzaa Africa kuondoshwa kwa uchaguzi wa Kwanzaa na wa mwisho Somalia wa kidemocrasii Alie shikaa Madara NI sharmarke

Siad Barre alipinduaa nchi 1969

Side Barre mwenye ndoto kubwa aliiijenga nchi mpaka mwaka 1977

Hapaa aliianza ukorofi

Vita na Kenya
Vita ya ethiopia

Kuua wasomi toka kaskazini itambue kuwa somaliland ilikua wasomi wengii kwani England ilitwala na iltoaa elimu kubwa tofauti na wataliano

Waingereza walitoa wa somalilanders wengi kuja Kenya na tanganyika Malawi na zambia Kama wataalamu

75% wasomali unawaona mikoanii ambao kwa Sasa NI watanzania pamoja na Mimi NI kutoka somaliland

Tujee kwenye mada

198i wasomaliland walioko uhamishoni uingereza walitengeneza vuguvugu la ukombozi wa nchi yao vuguvugu Hilo lilitwa SNM Somali. Nation movement

Hii kazi ilianza rasm 1988 na walipigana kumuondoa siad bare 1991.
Wao wilikomboa eneo lao lililopakana na Somalia.

Hawa walisimikaa raisi na uchaguzi wa kidemocrasii ulifanyika

Mpaka Leo somaliland inafanya chaguzi zake kidemocrasii kuaanziaaa serikali A mitaa na serikali kuu

Somaliland NI katilii ya nchi zinazoitwa De facto country..

Itaaendeleaaa.......

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante Sana kwa ufafanuzi Mr tansoma

MTC | 101| [emoji769]
 
Mipaka ya somaliland NI ile iliowekwa na wakoloni na kubarikiwa OAU. Kaskazini inapaka na Djibouti magharibi Ethiopia na kusini na masshariki Somalia

Somaliland inatofautiana na Haina mahusiano yoyote ya kisiasa wa kiuchumi na Somalia.

De facto somaliland. Imefanya mengi makubwa kuijengaa nchi yao from zero kwani serikali ya Somalia ili tupia mabomu karibu nchi nzima
Walifanya hivyoo wapo mfano general Morgan yupo Kenya kanali Abdul Tukeyna wengine

Uhasama uliopo somaliland na Somalia NI mkubwa sana .Hii ni kwanii??

Ili somaliland itambuliwe kimataifa itahitajika kura ya maoni na utashi wa pande mbili lakini kwa Somalia hawataki kusikia Jambo Hilo

Hivyoo SOMALILAND imeeapa itakaa hivyoo Kama defacto wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Somaliland kidogo unaweza kuifananisha western Sahara ila western sahara ilivamiwa kijeshi na moroco ila somaliland iliingia makubaliano baadae junta akawageuzia kibao,,, baada ya kupewa uhuru wao na Muingereza nchi ya kwanza kuitambua Somaliland ilikuwa ni Israel.
View attachment 1030589View attachment 1030590
Mauwaji ya Kimbari yaliyofanywa na Siad Barre View attachment 1030589View attachment 1030590
Oke

Israel hutambua nchi za karba hiyo ilikusudi uingwe mkono maana na wao wana utata.
 
Mipaka ya somaliland NI ile iliowekwa na wakoloni na kubarikiwa OAU. Kaskazini inapaka na Djibouti magharibi Ethiopia na kusini na masshariki Somalia

Somaliland inatofautiana na Haina mahusiano yoyote ya kisiasa wa kiuchumi na Somalia.

De facto somaliland. Imefanya mengi makubwa kuijengaa nchi yao from zero kwani serikali ya Somalia ili tupia mabomu karibu nchi nzima
Walifanya hivyoo wapo mfano general Morgan yupo Kenya kanali Abdul Tukeyna wengine

Uhasama uliopo somaliland na Somalia NI mkubwa sana .Hii ni kwanii??

Ili somaliland itambuliwe kimataifa itahitajika kura ya maoni na utashi wa pande mbili lakini kwa Somalia hawataki kusikia Jambo Hilo

Hivyoo SOMALILAND imeeapa itakaa hivyoo Kama defacto wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
Pasi gani ya kusafiria hutumika kwa Somaliland
 
Hawana jeuri ya kuishinda Kenya bt kama kweli mtatwangana Kenya itakiona cha mtema kuni japo mtashinda ila kwa mbinde aise

Sent using my iPhone using jamiiforum app
hawawezi tupiga ni ngumu sana,wanajeshi wetu wana training kutika mbali mbali kama ,Israel,marekani etc,kenya tuko sawa
 
Kenya mna visa vya kijeshi tu lkn mbinu na hari ya upambanaji iko chini saana

Kingine ambacho huwa mnakosea ni kuwategemea USA na UK hao wataangaria biashara zao tu

hakuna nchi Africa inaeza jitegemea hio ni fact,so ina depend unategemea nani,n history is clear UK wali tu colonise so bdo tuna culture yao n pia usisahau most of kenyan whites ni wa kutoka UK na kidogo kutoka Italy,na US ni diffrent story toka independence tumekuwa tu nao tukijaribu kuwa ape,si ni kaa watoto wao in other words
 
"AFRICA hatupendwi na wazungu" kikubwa naposema wataangaria maslai yao ni kuwa wataangaria kati yenu mnaopigana nani katoa ofa nzuri kwao basi that why nasema kuwategemea hao ni upuuzi

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
"AFRICA hatupendwi na wazungu" kikubwa naposema wataangaria maslai yao ni kuwa wataangaria kati yenu mnaopigana nani katoa ofa nzuri kwao basi that why nasema kuwategemea hao ni upuuzi

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Hahaha this case is diffrent usisahau somali is a muslim nation,n muslim wanachukiwa US na Uk hata ni karibu kila mahali to be specific muslim wasomali,so hakuna siku hata moja US itawai shikana na Somali,kwanza huko US wanachukiwa sana na si huko pekee pia huku hatuwapendi hata kidogo juu wametuletea shida mingi sana,usisahau kenya is a christian nation na pia chini ya maji si huwa na support ya Israel ka ujui so ni hard na hata waharabu wanabebanga tu wasomali ujinga juu ya dini yao hufanya wa arabu wakae miungu na somali ka kuna nchi wanaabudu ni U.A.E lakini wanabebwa ujinga
 
Back
Top Bottom