Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini tusimuunge mkono Somalia?View attachment 1031044View attachment 1031045View attachment 1031046
Vitu kama hivi kikwete alikuwa anavionyesha na askari wetu wanajiamini ila tusije tukawaachia wakenya peke yao
hao awakuangi kenyas wanakunaga watu kutoka Loitoktok kajiado county n most ni tanzanians n half tanzaniansMbona hao Marafiki zenu hawakuja kusaidia kuwapatanisha mlipochinjana mwaka 2007, ni Kikwete ndiye aliyekija na idea ya prime minister akapatikana Raila na serikali ya nusu mkate?.
Mbona kila mkifikia kipindi cha uchaguzi wa Kenya, maelfu ya wakenya huvuka mipaka na kuingia Tanzania kuja kujificha kusubiri kuona hali itakavyokwenda hamkibilii kwa hao Allies wenu?
Mbona migomo ya madaktari ikitokea, rais wenu alimtuma CS wa afya kuja Tanzania kuomba msaada wa madaktari, hamkuenda kuwaomba hao allies wenu?.
50% ya chakula na matunda hutoka Tanzania, kwanini msiende kununua chakula toka kwa hao allies wenu?. Kenyans investors are flocking to Tanzania daily, why not to your allies?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jeshi zote za Africa bdo ziko weak,in other words bdo tuko nyuma sana,in everything,hatuezi ji compare na jeshi zilipigana world warsKwaiyo inamaana hata jeshi lenu hamliamini mpaka muwategemee USA na UK? Sasa inamaana wanakula Tu mishahara ya bure,?
Sent using Jamii Forums mobile app
coz tanzaniana are stupid hampendi kuambiwa ukweli na kuwa realist,hata jeshi ya kenya hamuezani nayo sasa somali ndo mnaezana nayo,nyi kazi ninkukula na kuimba na kusherekea mabaya ya kenyaKwaiyo bila US mjiandae kuwa fucked? Wenzenu huku tunayaamini majeshi yetu kiasa tunaamini hata itokee vita yoyote tutapigana hata bila msaada ya yoyote?
Sent using Jamii Forums mobile app
acha kuwa mjinga mi ndo mkenya hapa si wewe 90% are christians so that makes it a christian nation ama ni kizungu hujuiNikutekebishe kidogo mkuu, Kenya sio nchi ya Kikristo,
Pili, US don’t give a **** on whether christianity or Islam, Only Interests bro, Do you know that Saudi is Islamic Nation and a very close US allie?
And do you think US got no Interest in your Fight Against Al Shabaab? Open your eyes bro,
Israel si tanzania,si kila nchi inachukia kenya,buda we have allies n read history after independence tulifanyia israel favour so its all about history na hio history ndo inafanya kenya na Tz wasipataneKwaiyo unadhani Israel anaweza kupoteza nguvu yake ili kusaidia Kenya?
Hivi unajua Israel ni mtoto wa usa lkn huwa anamfanyia usa vitimbi kama kumdukua?
Vip kama Somalia wakisaidiwa na Iran
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Well said sasa we ndo ume reason,hio ndo shida main na Kibaki ndo alianza ,so lazma hawa watu wasikue citizen ndo tuweze kuwapiga vizuri,i like what you've said[emoji106]Tatizo la Kenya ni kuwaona hao wasomali kua ni Raia wao, ikianza vita vya Kenya na Somalia Kenya atakua anaenda kwenye uwanja wa mapambano uku adui amemwacha Kenya, na hpo ndipo atakua anapambana na kivuli chake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawafungamani na upande wowote ule.
Tunafata mipaka iliyiwekwa na wakoloni..ukisema kila kabila liwe na mpaka wake itakuwa vurugu.Mtwara anavuguvugu la kijitoa Tanzania anzishe taifa lake maana anaona rasilimali iliyopo kwake haimnufaishi inaenda kunufaisha jirani.
Alshababu ni zao la Wasomali walipoona Somalia kusini hakuna Serikali wakaanzisha harakati ya kutaka kulifanya taifa la Somalia na Somaliland na Djibouty na Ethiopia ziwe Dola la Kiislamu halafu baada ya hapo wangevamia Zanzibar Mombasa... basi tena ingebakia Kenya na Tanzania hadi Msumbiji.Hawafungamani na upande wowote ule.
Well said thats why have said if they win this case after kenya watakujia pemba Tanzania this pple a worse so Tz jueni msipotussuport pia nyi watawakujia in short wanataka east africa iwe yao na iwe Islamic country,thats why i tell you they a worse,kenya si adui yenu si wote ni bantus but usisahau hao watu hujiona waharabu n they hate christiansAlshababu ni zao la Wasomali walipoona Somalia kusini hakuna Serikali wakaanzisha harakati ya kutaka kulifanya taifa la Somalia na Somaliland na Djibouty na Ethiopia ziwe Dola la Kiislamu halafu baada ya hapo wangevamia Zanzibar Mombasa... basi tena ingebakia Kenya na Tanzania hadi Msumbiji.